Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wakuu heshima kwenu. Kwa yeyote anaejua utaratibu wa kubadilisha pesa chakavu (sio wale wanaonunua mtaani) naomba kujuzwa tafadhali. a) niende wapi? b) kuna kiasi cha kuanzia? c) ziwe katika...
0 Reactions
0 Replies
834 Views
Ndugu wana JF, Mimi ni mtanzania ninaye tafuta fursa za kibiashara nje ya Tanzania.. Hususani nchi ya zilizoko ndani ya africa.. Tafadhali. Kama wewe unauzoefu wa biasha nje ya tanzania...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau nimekuja na wazo la kuanzisha mobile toilets pembezoni mwa barabara zenye foleni sana hapa Dar maana nimefanya uchunguzi nimegundua kuna uhitaji mkubwa. Hasa mida ya jioni kuanzia saa 9 k...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Brand ya FILA siioni kabisa wakati enzi hizo naanza shule; begi, kiatu, soksi hadi chupi vilikuwa vimeandikwa FILA.
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Heshima kwenu wakuu, Mwenye uzoefu na biashara ya kuagiza mchele kutoka kwa wakulima huko Mbeya na kuusafirisha kuuleta hadi Dar. Naomba uzoefu na msaada wenu hapa.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
WHY ONLY SORBONNE-EDUCATED, LITERATURE PH.D.S SHOULD CUT YOUR HAIR You get a haircut every few weeks. Everyone does. Men, women, children. Even balding men need a trim occasionally (as I’m...
1 Reactions
0 Replies
629 Views
Hii biashara ilivuma sana hasa ikihusisha na nguvu za kiume na watu walipiga hela sana kwa kuanzisha ufugaji wa kware na kuuza mayai yake lakini sasa naona kimyaa. Watu wakianza kuvumisha kitu...
9 Reactions
89 Replies
10K Views
GOLD (XAUUSD) Dominant Bias: Bearish The market has been showing weakness since last week (price dropped more than 1200 pips last week alone). A bullish attempt was made on February 26, but...
1 Reactions
1 Replies
544 Views
“ Serikali inafikiria kuweka akiba yake Benki Kuu kwa kutumia madini ya Tanzanite.” Hayo ni maneno ya Waziri mwenye dhamana ya fedha Dkt Philipo Isdor Mpango aliyoyatoa Novemba 2016, ikiwa ni...
0 Reactions
0 Replies
810 Views
Wakuu naomba kufahamishwa utaratibu kuwa kuanzisha na kusajili saccos ama kikoba.. Kwa maana ya idadi ya wanachama na vigezo muhimu vinavyozingatiwa kupata usajili. Naomba kuwasilisha..
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Waungwana habari za jumapili? Wakati flani nilipotembea hapo DSM nilishingazwa nilipokutana mtaani na jamaa ambaye alijivalia vizuri huku akiwa na kipaza sauti akitangaza kuwa yeye ana nunua Fedha...
3 Reactions
16 Replies
5K Views
Habar zenu kwa mtu anaejua kampuni ambazo mtu unaweza kuingia nazo mkataba wakujenge sehemu ya biashara...
0 Reactions
1 Replies
721 Views
KWA SHUGHULI NDOGO NDOGO NA VIKAO AWIMO BAR AND GUEST HOUSE INATOA UKUMBI, MUZIKI PAMOJA NA COCKTAILS BUREEE KABISA, NA ENDAPO NI SHUGHULI IHUSISHAYO WAPENDANAO kama Engagement tutawapatia zawadi...
0 Reactions
0 Replies
734 Views
Leo nimependelea kushilikiana nanyi elimu hii ya ujasiliamali,karibuni kuchangia zaidi ili tupeane ujuzi zaidi; Mjasiliamali - ni mtu anayeiona fursa na kuifanyia kazi, Ujasiliamili - ni yale...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Naomba tushauriane wana jf mana hapa Niko njia panda
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Samahani wanajanvi Mimi ni mjasiriamali pia Mwanafunzi.. Sasa nmejichanga na kununua pikipiki kwa mtu (used) na likizo ndo imefika na nataka kuipeleka mkoani. Ombi langu ni ushauri je naweza...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari wanaJFrm... Tupeane madini hapa. Ni Misingi gani unaweza mpatia kijana mwenye KIU ya kuingia katika safari ya Ujasiliamari na apate kufanikiwa.
0 Reactions
0 Replies
915 Views
Hbr Wana jamvii. Nimesikia takwimu za wafanyabiashara wa kariakoo wakilalamika hali ya biashara kuwa ngumu... last time niliskia biashara 800 zimefungwa na wkt huo huo zikafunguliwa biashara...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom