You become what you study

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Dec 25, 2016
2,197
2,024
Hakuna kazi kubwa duniani kama kufikiri kutokana na ugumu wa kazi hii watu wachache hutumia brain zao kufikiri kwa niaba ya watu wengine. The Nobel Prize winning physcist Albert Eastern.The best thinker who ever lives alisema"Think is hard work,that's way few do it".

Kwa kuwa watu wengi hawapendi kufikiri basi hupata maarifa kwa kusoma mawazo ya wengine ambao walizitumia akili zao vizuri.Hivyo ulivyo ni zao la kile ulichokisoma kama ulisoma upishi utakuwa mpishi,kama ulisomea udaktari you become a doctor.n.k.

Namna tunavyofikiri ni zao la kile tulichokisoma.Wengi wanafanyia kazi mawazo ya watu wengine. Kwa kuliona hili ndo maana watu kama Thomas Edison founder of general electric, Henry Ford founder of Ford Motor, Ted Turner founder of CNN, Michael Dell founder of Dell computer na wangine wengi waliamuwa ku drop college walipogunduwa wanasoma kitu ambacho hakitawasaidia katika kufikiri kwao.

So kuwa makini kwa kile unachokiingiza katika ubongo kwa maana ubongo una tabia ya kushika haraka.
 
Mi nlijua utakuja hapa kutuambia in ur life umefikia wapi na changamoto zako. Another wasted thread.
 
Back
Top Bottom