Fastjet imetoa tamko Leo kwamba Biashara yake ya Tanzania haina faida na kwamba inaweza kufunga virago kama isipopata mtaji mwezi huu. Hii ndio statement walioitoa London stock exchange...
Kama mnavyoelewa hizi nyakati za vyuma kukaza kisawasawa.Naomba kufahamu kuhusu kampuni zinazotoa mikopo kupitia mitandao lakini kwa riba nafuu.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Hamjambo wadau wapenda maendeleo,
katika pita pita zangu za kuongeza ujuzi wa maisha, niliwahi kusoma kitabu cha RICH DAD POOR DAD kilichoandikwa na ROBERT KIYOSAKI, jambo mojawapo nililojifunza...
Habari wana JF.
Napenda kujua kama hi pump ya maji aina ya"MONEY MAKER PUMP"kama inaweza kunisaidia kwa kilimo cha bustani maeneo ya MOROGORO bush?ninampango wa kulima hk 10 za nyanya,matango na...
Katika harakati ya kutembelea moja ya mashamba yetu huku vijijini nimekutana na hili shamba la hekari 9.5 lina mawe haya, kwa wataalamu wa madini njooni tupige pesa sasa.
Ndg wana JF
Nina biashara ambayo inaendelea ina niingizia km Lak5 toa Gharama zote kwa mwenzi! Lakini biashara hii inahitaji mtaji mkubwa nimedunduliza kwa kipindi cha mienzi 6hivi Nina km 4ml...
Habar..wakuu!!
Wenye ujuzi kidogo na haya mambo ya ujenz
Baad ya kujichangachang nimefanikiwa kupat kaeneo sasa nilikuwa naitaji kuanza ujenz lakn kwa awamu km mnavyojua life lenyew ni la kuunga...
Bussness account(akaunti za biashara) ni akaunti ya kawaida kabisa kama nyingine inayotumia jina"brand" ya biashara fulani.
Zinaweza kuwa pia akaunti binafsi za watu maarufu na za watu wenye...
From Reuters: Congo state miner warns Randgold on transfer of Kibali mine to Barrick
Congo’s state miner Sokimo warned Randgold Resources on Friday that Sokimo would “assert its rights” in...
Brazilian oil company Petrobras has agreed to an $853.2 million settlement with U.S. and Brazilian authorities to end yearslong investigations tied to one of the biggest corruption schemes ever...
Tupeane uzoefu wale waliochelewa kutoboa.
Najua kukata tamaa katika kutafuta Ni kosa kubwa na Ni usaliti juu ya wenye high hustling spirit. Ni usherani mkubwa kukata tamaa. Ndo maana naamini wapo...
Nimeambatanisha Proforma Invoice. Kwa wale wenye uelewa na mambo ya kuclear mzigo bandarini je, itanigharimu kiasi gani kuutoa mzigo bandarini?? Bado sijailipia nimewasiliana na supplier kwenye...
ZIFAHAMU AINA ZA KODI NA VIWANGO VYAKE KWA MFANYABIASHARA
MDOGO NA WA KATI.
[emoji1006]: KODI NI NINI?
Kodi ni mchango wa lazima kwa serikali kutoka katika malipo ya mishahara,
utoaji wa...
Kwanza naanza kutoa pongezi kwa ATCL kwa kazi kubwa wanayofanya ya kuliweka hai shirika letu la ndege. Natoa pongezi pia kwa kuanza safari za nje ya nchi katika kupanua wigo wa huduma za ATCL. Kwa...
Kwa mujibu wa tcra ving'amuzi vinavyotoa huduma ya channel za ndani Bure ni STARTIMES, Continental...ila cha ajabu STARTIMES chaneli za ndani sio bure kwa wale wenye ving'amuzi vya dishi...
Tanzania ya viwanda inawezekana, mwenye proposal ya namna ya kutengeneza bidhaa za tambi, namna ya kutengeneza, Ratios, NA rasilimali zingine muhimu za kuzingatiwa wakati was kutengeneza bidhaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.