una maanisha au ni viceversa?Nilikuwa naangalia KTN hapa; naona twiga cement wame suspend uzalishaji wa cement kwa kipindi kisichojulikana kuanzia leo. Tutegemee bei ya cement kwenda chini zaidi.
Wanyonge wa tz wanaendelea kuifurahia nchi na raisi wao