Kusafirisha mizigo Tanzania kwenda BOTSWANA

Tanzanite klm

JF-Expert Member
May 7, 2013
453
376
Hi wanajukwaa,nimekua nikituma mizigo Botswana kwa njia ya DHL ,ni garama sana hii njia kwa kweli, naombeni njia nyingine rahisi kwa wenye uzoefu kusafirisha mizigo kwenda Botswana kutoka Tanzania.
 
Nasubiri majibu utakayopewa itakuwa ni shule kwangu, sijawahi kutuma hata Sms kwenda huko Botswana!
 
Back
Top Bottom