Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wadau mwenye uwezo wa kutoa mkopo kwa masharti nafuu ani-pm ili tufanye biashara kwa kifupi mimi ni mkandarasi.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wadau Azam ni kwangu tuu au?hebu msaada Siwaelewi hawa Azam.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
https://photos.app.goo.gl/WZQL8XVxjz6d1BSp8
0 Reactions
0 Replies
3K Views
sis ni mawakala wa bima za aina zote, tukiudumia bima kutoka makampuni yote ya nchi nzima 1. magari na pikipiki 2. bima za afya 3. bima za moto 4. bima za wizi 5.bima za mizigo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Picha inajieleza hapo,nakupa na remote zake zikiwa nzima kabisa,kama unahitaji njoo pm chapu,...nauza vyote kwa 430k....
2 Reactions
27 Replies
8K Views
Mashine ya kukamulia juice ya miwa inauzwa ni ya umeme,ina roller mbili,ipo na kibanda chake kabisa,ni Tsh 2,000,000....bei inaongeleka,mashine ipo DAR ES SALAAM,SALASALA kwa mawasiliano 0693208482
0 Reactions
7 Replies
7K Views
*OPTIMAL FIRMING LOTION* Page 31 code 31314 [emoji830]Hii ni seti nyingine ya optimals body ambayo hutumika kwa ajili ya ku tight mahali ambapo kuna nyama za uzembe./nyama zilizotepeta...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tuungane ili Tufanikiwe Katika hili! Natafuta makampuni au taasisi mbalimbali zitakazokuwa tayari kudhamini project hii niliyoandaa ya biashara na habari. SageWap ni website itakayofanya kazi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
On sale
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Hanari za leo wakuu! Kama kichwa kinavyosema hapo juu, naombeni msaada kwa yeyote anayejua anisaidie kunipa taarifa ya gharama za kusafirisha ng'ombe kutoka maeneo ya Karagwe, Mwanza, Shinyanga...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Nina kiasi cha sh 250000/= nifanye biashara Gani. Wakuu naombeni ushauri wenu.
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Jamani wana Jamii naombeni msaada wa kimawazo nahitaji kwenda Nairobi kwa kazi ya saluni ya kike but sijajua ni sehemu ipi inafaa ,hata kodi zao za nyumba zikoje kwa mwezi
0 Reactions
6 Replies
2K Views
habari zenu wakuu.. naomba msaada wa mawazo, nko njia panda kidogo. Mimi ni kijana 25yrs nlianza maisha ya kujitegemea kama miaka 2 iliopita baada ya kumaliza elimu yangu ya diploma, makazi yangu...
1 Reactions
12 Replies
8K Views
We understand that SWALA OIL AND (T) plc is in the process of acquiring 40% of ORCA EXPLORATION PLC/PAN AFRCAN ENERGY TANZANIA. After SWALA acquired its first tranche, TPDC and Controller Auditor...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF secta hii ya Microcredit ni nzuri sana, kuna fursa kwa anayehitaji kuwekeza kwa masharti ya kwamba 1. awe na mtaji wa sh 400,000 - 1,000,000, kila sh 100,000 atapata faida ya sh 5,000 kwa...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Kuna mtu ananishawishi sana niingie kwenye hii kitu. Naomba kuna watu walishajiunga na wakafanikiwa walete ushuhuda kabla sijaingiza Pesa zangu. *BITWORLD CENTER* ni kampuni iliyosajiriwa *Rio...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Salaam Wakuu, Kadri siku zinavoenda kunatokea mabadiliko kadha wa kadha katika sector mbali mbali za kiuchumi kuanzia usafirishaji , kilimo,biashara na Huduma, n.k katika taifa letu. Mabadiliko...
3 Reactions
16 Replies
8K Views
Habari ndugu watanzania, natumaini munaendelea vyema na jitihada za ujenzi wa taifa letu hili changa kiuchumi, nikiwa kama mtanzania kijana ninapambana kwa ustawi wa taifa langu na familia yangu...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Air Tanzania needs a radical changes if it wants to make a profit, stay afloat and beat the competition. One of the things it should do, is to convert its engines to function on LNG (liquefied...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Nisije nikaanza kuanzisha varangati kwa kuuziwa bia kwa bei ile ile
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom