Singidan JF-Expert Member Joined Aug 24, 2015 Posts 878 Reaction score 945 Aug 17, 2018 #1 Wakuu, Naomba kufahamu kwa undani mji wa Katoro. Fursa zake za kiuchumi, kilimo, ufugaji, biashara, miundombinu, makazi n.k. Je ni sehemu salama pia? Asanteni.
Wakuu, Naomba kufahamu kwa undani mji wa Katoro. Fursa zake za kiuchumi, kilimo, ufugaji, biashara, miundombinu, makazi n.k. Je ni sehemu salama pia? Asanteni.