Soko la Madini

zilakina

JF-Expert Member
Sep 16, 2011
293
77
Naombeni msaada wa kujua haya ni madini gani na soko lake likoje,kwenye shamba la bibi yangu Tanga mombo wakati analima amekutana na mawe meusi halafu jembe limetanasa kama sumaku.Je hayo ni madini gani na soko lake likoje kwani yako mengi sana.
 
Piga picha nzuri kwenye mwanga tuma tuone
 
Naombeni msaada wa kujua haya ni madini gani na soko lake likoje,kwenye shamba la bibi yangu Tanga mombo wakati analima amekutana na mawe meusi halafu jembe limetanasa kama sumaku.Je hayo ni madini gani na soko lake likoje kwani yako mengi sana.
geologist
napatkana 0767334778
nipo arusha
 
biashara hiyo sunstone
 
Attachments

  • th (2).jpg
    th (2).jpg
    7.5 KB · Views: 35
  • th.jpg
    th.jpg
    8.8 KB · Views: 34
biashara hiyo sunstone
Sunstone hot sana sahv huko Hong Kong
Inatakiwa sana sana ya gairo....kitati na chamkoroma
Sema ugumu usafirishaji sahv wa madini ni issue especially mawe ya kilo serikali bado imezuia

Ova
 
sasa tunapataje soko au wewe unanunua mimi ninayo ya chamkoroma
 
Back
Top Bottom