Maneno machache kwako wewe ambaye dunia bado inakuweka chini,
Hawakujui,
Watafanya kila liwezekanalo kukufanya ubaki ulipo,
Watalipa polisi wakuweka ndani bila wewe kufanya kosa,
Watakutishia...
Wakuu habari zenu.
Naomba mwenye ABC za fursa za kibiashara hasa kwa mitaji midogo kati ya 100,000 -500,000 tsh. Kwa Mji wa Tunduma au Mwanza. Nimevutiwa kwenda kupambana maeneo hayo.
Sina ujuzi...
The East African oil pipeline (or the Uganda-Tanzania pipeline is the talk of the town now. Not only in East Africa but all over the globe.
The construction of this pipeline is officially on...
Wakuu, Kama thread inavyojieleza mataifa karibia 35 yameungana kwenye hii project, naomba mdau anayejua umuhimu wa hii project
anielezee nipate kuelewa vizuri. Website ya hit project ni ITER - the...
Habar wakuu wa JF....
1) kwanza napenda kujua kwa wale wazoefu wa hii biashara ya kashata za karanga faida na hasira zake
2) pill naomba nipate darasa fupi La namna ya kuzitengeneza kwani...
Wapendwa wana jf, habari zenu!
Naomba kufaham bei ya korosho zilizo banguliwa (nuts) kwa kilo moja ni shiling ngapi hapa dar...bei ya jumla na rejareja...
Ifuatayo ni orodha ya mikoa kumi ambayo wananchi wake wana ahueni ya kipato hivyo muwekezaji/mfanyabiashara makini lazima uzingatie.
1.Dar
2.Dodoma
3.Arusha
4.Mwanza
5.Tanga
6.Morogoro
7.Mbeya...
Nimekaa nawaza ujinga ujinga tu,
Hivi ni kweli dr. Charlse kimei aliekua Mkurugenzi wa Crdb ameamua kupumzika nafasi hiyo kabla ya muda wake kuisha au ndio mpango wa kuelekea kule alikoambiwa...
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Ms. Mary Tesha ambaye alimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza akizungumza na waandishi wa habari katika hafla ya uzinduzi wa huduma ya Taxify iliyozinduliwa hivi karibuni...
Nimefanya booking jana online, nimeamka alfajiri hii nataka nilipie ile reservation, the only reference ya booking niliyoona ni hiyo reservation number, najaribu kuingiza mpesa inakataa, naingia...
Africa 118 - Infomoby which provides a digital marketing platform for small and medium-sized enterprises (SME’s) in Africa, and NORAD (Norwegian Agency for Development) partnered to make it easier...
Habari wadau! Kama kichwa cha Habari kinavyosomeka, naomba kupata maelezo juu ya masharti, hatua , mahitaji ili kufungua micro finance hapa Nchini. Pia sheria na miongozo inayotumika ktk kufungua...
What is Islamic Banking? It is complying with the Shariah laws of no Interest banking. Amana is the first Muslim bank in Tanzania entirely Shariah compliant.
Amana Bank Ltd. | Tanzania's First...
Nauliza Ndugu kwa YEYOTE anaejua NAMNA ya KUPATA vibali vya kufungua training centre itaoayokuwa inafundisha computer application na masomo labda
Aweze kunisaidia
ASANTENI
Karibuni!!!!
Ukiangalia perfomance ya hisa za vodacom soko la hisa Tanzania inaonyesha wazi kuwa kwa muda mrefu haifanyi vizuri.Naiomba serikali ishawishi wawekezaji wa china wainunue.Kupata kibali cha...
Habari wakuu naimani mko salama
Niende kwenye lengo la uzi,kifupi nimetumiwa fedha kupitia GOOGLE ADSENSE na niliweka njia ya malipo iwe WESTERN UNION na swala linapokuja kunitatiza ni kwamba...
Habari wakuu,
Kuna uvumbuzi mmoja wa bag la wanafunzi shuleni, bag hilo lina features tofauti kabisa na mabag yaliyopo. Bag hizo zinauzwa Marekani, nimejaribu kugoogle hiyo kampuni nimeona kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.