Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Naomba kujua ABC's za kufungua workshop ya aluminium and glass work, pamoja na Steel. Yaani iwe kutengeneza aina zote za vifaa vya aluminium na grills za madirisha, milango na mageti. Pamoja na...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
* Shares plunge over 50 pct * Warns of low cash * Could exit largest market Tanzania Sept 26 (Reuters) - Fastjet Plc’s shares shed more than half of their value on Wednesday after the African...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Hello wanajamvi wenzangu naomba kuuliza hivi ukiwa na Leseni ya Biashara na Tin namba ,ikatokea unataka kuifunga Biashara ili ufanye mambo mengine ,je umiliki wa hivi vitu unakuwaje ,Leseni na Tin...
1 Reactions
21 Replies
13K Views
kuna meli mbili zinatarajiwa kutia nanga na kupakua mizigo bandari ya dar es salaam. kota manisi ETA yake ilikuwa tarehe 23 septemba 2018. ni kweli iliwasili katika maji ya dar es salaam tarehe...
1 Reactions
3 Replies
990 Views
Faida ya Kampuni ya Bia #Tanzania (TBL) katika nusu ya kwanza ya mwaka 2018 imeshuka kwa asilimia 16 hadi TZS bilioni 64.5 kutoka TZS bilioni 77.13 katika kipindi kama hicho mwaka jana. Kushuka...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wana JF Kama Uzi tajwa hapo juu, binafsi huwa naona matangazo kwenye app ya kupatana watu wakiuza na kununua vyombo vya usafir kama pikipiki na gari. Lakin m lengo language in kununua...
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Afsa TRA mnaona watu wamejazana wanaomba kufunga TIN zao kwa kuwa biashara hamna nyie at a kuangalia jinsi gani ya kuwapunguzia kodi ata wawe wanaleta kidogo hamna.alafu mnasema hapa kazi tu!!kazi...
0 Reactions
1 Replies
973 Views
Habari wana Jf natumaini kama kichwa kinavyojieleza kwa wewe ulie maeneo ya moshi na unahitaji kutengeneza hera hapo ulipo bila jasho basi changamkia mchongo huu. Mimi ni mfanyabiashara...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu Bajaj mmeingia cha kike kujidai wa kishua kujichanganya kwa mabepari UBER hela hiyo hiyo ununue Smartphone, bundle, powerbank, 25% ya UBER, airtime ya kumpigia abiria ukifika alipo...
4 Reactions
74 Replies
12K Views
Habari ndugu zangu, Naomba kujua kama kuna kampuni inayosafirisha mizigo kutokea south Africa to DSM Tanzania. Kama kuna mtu anajua naomba anijulishe tafadhari. NB:Kama unawaza wizi wizi kaa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wakuu, Mimi ni mfanyabiasha, hivi sasa nimepata soko la bidhaa zangu za nguo huko Namibia. Naombeni kufahamu njia rahisi za kusafirisha nguo kupeleka Namibia. DHL/FEDEX nk ni gharama...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Akizungumza na Nipashe iliyotaka kupata ufafanuzi juu ya huduma hiyo jana, Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa CRDB, Tuli Mwambapa, alisema kiwango cha chini cha mikopo hiyo ni...
3 Reactions
22 Replies
10K Views
Wanajamii Kuna ukweli gani Katika huo uzi hapo juu
0 Reactions
2 Replies
611 Views
Serikali imekuwa ikifanya jitihada nyingi za makusudi ili kuvutia wawekezaji wa ndani na nje ya nchi ili kuwekeza katika viwanda. Tumeshuhudia mikutano na warsha nyingi zikijadili namna ya...
0 Reactions
0 Replies
854 Views
Habarini . Surely Leo nahitaji majibu kwa wabobezi, Nimechagua gari be foward akilini nimechagua kununua gari through PayPal . Na ufafanua. Nahitaji sana kuelewesha also niendelee kununua vitu...
0 Reactions
0 Replies
888 Views
Kama unataka kufanya biashara na Botswana tafadhali ni PM ili tuweze kuwasiliana kuna biashara nyingi huko Tanzania za kuleta huku kama una fedha na ungehitaji kutengeneza fedha nipo tayari...
0 Reactions
30 Replies
10K Views
Kichwa cha habari chahusika, nisaidieni bandugu
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kwanza kabisa natoa rambi rambi zangu kwa hao watu zaidi ya 224 waliofariki hapo mv nyerere ilipozama. Mimi kaa mtu ambae anajua mungu wa kweli wa bibilia , Sitaweza kamwe kusema hio ilikuwa...
0 Reactions
2 Replies
829 Views
Ambae anataarifa kuhusu ongezeko la thamani la fedha katika soko la hisa mpaka sahivi anijuze, thamani zikoje kila nchi ukikompea na shilingi yetu ya tanzania, Ahsanteni sana na karibuni kwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
wakuu habari zenu mimi mfanyabiashara wa viatu vya kike tatizo lilionitokea hili mteja alikopa viatu vya elfu kumi tano akalipa akabakiza elfu mbili sasa akaja tena dukani akaomba kukopa mkoba...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom