Jamani Nina kreti 20 nahitaji kujiunganisha na coca-cola ili waniletee na niuze jumla... Je inawezekana vipi..! Msaada wapendwa..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana JF.
Kwa yeyote ambaye ameshawahi kutembelea Kigali - Rwanda au wenyeji wa huko wanaweza kunijulisha juu ya haya yafuatayo:
Usafiri wa kuelekea huko kwa njia ya barabara (basi) kutokea Dar...
Any Tanzanian living in Solwezi Zambia let us meet here, To discuss business opportunity and challenges of living here.
mtanzania anayeishi Solwez Zambia tukutane hapa tupeane fursa na...
Any Tanzanian living in Solwezi Zambia let us meet here, To discuss business opportunity and challenges of living here.
mtanzania anayeishi Solwez Zambia tukutane hapa tupeane fursa na...
Salaam, nimepata shida ghafla, naomba kwa yeyote anayeweza kunikopesha shilingi milioni tano kwa riba nafuu ndani ya miezi mitatu, dhamana hati ya nyumba. Nyumba ipo Sumbawanga mjini
ASDP2:Was the programme which launched by the government in 2015with the aim of implementing of the programme which takes off in the context of Climate change.And it looks as the...
Kama kweli hii reli ya kisasa inajengwa kwa mtindo huu wa kutafuta fedha huku mradi ukiwa teyari umeshaanza tunaweza kweli kukamilisha mradi huu ukiwa umekidhi viwango vya ubora unaotakiwa na kwa...
Wana JF Naomba msaada kwa wenye uzoefu na biashara hii, Mimi Naifanyia utafiti nianze kuifanya kwa mfumo wa rejareja yaani niwe na banda. Naomba nijuzwe ni mbogamboga zipi zinanunuliwa sana na...
Majukwa mengi ya JF kwa sasa hufanya vizuri sana kwenye SEO za google hasa kwa lugha ya Kiswahili.
Nawashauri muunde 'Content Marketing Team' itakayokuwa na kazi moja ya kutafuta wadhamini wa...
Katika kusherehekea msimu huu wa Sikukuu, kampuni ya mawasiliano nchini Vodacom Tanzania imewaletea wateja wake na Watanzania kwa ujumla kampeni inayokwenda kwa jina la PESA NI M-PESA. Kupitia...
Vodacom Tanzania PLC imetimiza miaka kumi tangu kuzinduliwa kwa huduma ya M-Pesa.
Kwa miaka hiyo kumi, Vodacom M-Pesa imejikita kwenye kutoa huduma mbali mbali kama kulipia huduma na bidhaa...
You can say it involves buying and selling stuffs, well you probably are true but what really business is?
Since I am not the only one who doesn't know, I am open to suggestions
Define business...
Waafrika popote walipo wanaokwerwa na wizi na uporaji wa mali zao unaofanywa na watawala wao wangefurahia wangekuwa na rais kama wa kwetu, JPM ambae kiuchumi hana mpinzani chini ya jangwa la...
Habari zenu.....
Naitaji Msaada wa machimbo mazuri ya Vitenge kwa dar es salaam coz naitaji kufanya biashara ya Vitenge but sijajua niwapi nitapata Vitenge vizr na kwa bei nafuu naitaji Msaada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.