Nataka kujenga Shule ya Sekondari, Manispaa ya TMK, naombeni ushauri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka kujenga Shule ya Sekondari, Manispaa ya TMK, naombeni ushauri

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Rich Dad, Jun 30, 2011.

 1. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wadau salaam zenu,

  Najua hiki ni kisima cha maarifa na ndo maana nimeweka wazi nia yangu ya muda mrefu ili nipate mawazo yenu.
  Mpaka sasa nimeshanunua ardhi yenye ukubwa wa ekari tatu, nimwemwaga mchanga na kokoto site kwa uchache lakini.
  Plan ni kuanza kujenga madarasa matatu, ofisi, na vyoo vya public kwanza kutokana na uwezo wangu mdogo.

  Haya madarasa nina imani nitayakamilisha kwa ubora wa wahili ya juu ndani ya mwaka huu. Kuhusu furnitures nitacheck mwakani (2012).

  Kuhusu waalimu, nimepanga kutumia wa hapahapa nchini kwa sababu naamini wapo wengi wa kutosha.
  market segment bado inanisumbua; maana binafsi nilifikiaria kujikita kwenye masomo ya science kwa O - Level ambayo ni ugonjwa wa taifa but nikifikiria mambo ya Maabara na eneo ninalotaka kuanzisha shule napiga chini hilo wazo ( hapo mahali hakuna umeme).

  Naombeni ushauri wenye kuwezesha kufanikisha kiu yangu.
   
 2. HOYANGA

  HOYANGA Senior Member

  #2
  Jul 1, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Anzisha shule ya a-level arts then ukitoka vizuri necta wateja watakuwa wengi sana unaweza anza o-level!!!! Mkuu kuendesha maabara si mchezo hasa ya chemistry!!!!!!
   
 3. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nashukuru kwa ushauri mkuu! Je, unadhani madarasa matatu pamoja na ofc ya walimu yatatosha kwa kuanzia?
   
 4. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wakuu bado nahitaji michango yenu! Niko serious nahitaji kuanza hii kitu soon, kwa sasa nakamilisha business plan ambayo maboresho yake yatategemea pia michango yenu.
  Kama kuna yeyote angependa kuwa partner kwenye hili tafadhali pm ili tujadili.
  Alone you can do so little, but together we can do more!
   
 5. HOYANGA

  HOYANGA Senior Member

  #5
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ungeongeza ofisi ya headmaster na kama mfuko utaruhusu ongeza darasa moja litumike kama maktaba ya muda, kwa kuanzia isijali usipende kabisa kuwa na waanafunzi wengi wasio bora ila wakiwa wachache management yao ni rahisi na outcome yao inaweza kukuweka kwenye ramani nzuri ya kuendelea kuaminika!!!!!!
   
 6. g

  gogozito Member

  #6
  Jul 4, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Hongera kwa wazo.
  1 Anza na A- level mkondo wa biashara (ECA) ni rahisi sana kupata walimu wenye kiwango , ukichukulia vyuo vingi ni vya mikondo ya biashara kama vile B com, ADA.
  2 Jitahidi uweze kupata nyumba kwa ajili ya walimu hata wawili maeneo ya karibu na shule ili kupunguza adha ya foleni
  3 Toa nafasi kwa wana Jf wenye taaluma juje kukutia nguvu
   
 7. g

  gogozito Member

  #7
  Jul 4, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Hongera kwa wazo.<br>1&nbsp;&nbsp; Anza na A- level mkondo wa biashara (ECA) ni rahisi sana kupata walimu wenye kiwango , ukichukulia vyuo vingi ni vya mikondo ya biashara&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp; kama vile B com, ADA.<br>2&nbsp;&nbsp; Jitahidi uweze kupata nyumba kwa ajili ya walimu hata wawili maeneo ya karibu na shule ili kupunguza adha ya foleni<br>3&nbsp;&nbsp; Toa nafasi kwa wana Jf wenye taaluma juje kukutia nguvu
   
 8. HOYANGA

  HOYANGA Senior Member

  #8
  Jul 4, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  MAWAZO YAKO NI YA MSINGI SANA MHESHIMIWA, LAKINI NINA WASIWASI YA UPATIKANAJI WA WANAFUNZI WANAOSOMA ECA, KWA SABABU ECA NAVYO FAHAMU MIMI LAZIMA UWE NA BACKGROUND YA COMMERCE, B/KEEPING(MASOMA YA BIASHARA O-LEVEL) AMBAYO KWA TANZANIA KWA UJUMLA WAKE SHULE CHACHE SANA ZINA MCHEPUO HUO!! KWANGU MIMI LABDA AANZE NA HGE NA SI ECA kwa msingi wakupata wanafunzi wa kuanza nao, na pia HGL&HKL NI MUHIMU.
   
 9. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #9
  Jul 4, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Asante sana mkuu kwa mchango wako, yote uliyoshauri nitayafanyia kazi! Thanks
   
 10. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #10
  Jul 4, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Angalizo lako naona ni la msingi sana, shule za commerce kwa. Olevel naona ni chache sana kwa TZ yetu!
   
 11. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #11
  Jul 4, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  naomba tenda ya ku supply stationaries, school buses, na kantini pliz!
   
 12. s

  simpleways2 Member

  #12
  Jul 4, 2011
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hio shule ifanye ya Walemavu utapata msaada mkubwa sana
   
 13. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #13
  Jul 4, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mambo yakiwa sawa nitaweka hadharani kupitia thread hii hii, nitaeleza mafanikio pamoja na changamoto nilizokutana nazo.
   
 14. m

  mbweta JF-Expert Member

  #14
  Jul 4, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kila kitu mwanzon kina gharama. Mfano mama ntilie mara ya kwanza tu kupika lazima arudi na chakula. Hivo jiandae na pesa flan ya taadhar kwa ajili ya kumiti mishahara usitegemea ada kwan waweza pata wanafunz wachache wa kuanzia. Pili wazo la kuanza na a-level ni zur kwan kwa miaka miwili waweza tengeneza jina tofauti na o-level ambapo ni 4yr. Tatu advance usianze na science ztachafua jina anza na combi kipenz cha weng hgl,hkl,hge izo zitakupatia jina. Kila la kheri wazo zuri mungu atakusaidia.
   
 15. M

  Malila JF-Expert Member

  #15
  Jul 5, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Good advice,
  Jipange kama ulivyoshauriwa.
   
 16. serio

  serio JF-Expert Member

  #16
  Jul 5, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,925
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  kit bomba,.al the best
   
 17. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #17
  Jul 6, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Asante sana mkuu kwa ushauri. Nitatoa mrejesho ni jinsi gani ninaendelea
   
 18. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #18
  Jul 6, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Asante sana Malila, itabidi nije nikutafute tuonane, maana umekuwa msaada mkubwa sana hapa JF. Huwa unani inspire sana unapotoa ushauri jinsi gani ya kufanikiwa katika mambo yetu ya ujasiriamali.
   
 19. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #19
  Apr 19, 2015
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  4yrs now,mrejesho please!!!
   
 20. b

  busiminet Senior Member

  #20
  Apr 21, 2015
  Joined: Dec 14, 2014
  Messages: 194
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35

  [FONT=&quot][FONT=&quot]okoa muda,okoa pesa na kuza biashara yako kwakuhudumiwa na Busiminet co.ltd
  [/FONT]

  BUSIMINET COMPANY LIMITED[/FONT]

  [FONT=&quot]Po.box 12659
  Kinondoni-Dar es salaam[/FONT]
  [FONT=&quot][/FONT]
  [FONT=&quot]Tanzania [/FONT][FONT=&quot][/FONT]
  [FONT=&quot]Mob: [/FONT][FONT=&quot]07 65 90 10 93 / 06 58 12 31 58[/FONT]
  [FONT=&quot]E-mail: [/FONT][FONT=&quot]busiminet@gmail.com[/FONT]
  [FONT=&quot]Website: [/FONT][FONT=&quot]busiminet.blogspot.com[/FONT]
  [FONT=&quot]
  BUSINESS [/FONT]
  [FONT=&quot]
  1.[/FONT]
  [FONT=&quot]Assist in business licenses registration with municipals, ministries and other Government bodies.
  2. Assist in business name, School, Colleges, NGO's, Succoss and Company registration.
  3.
  Preparation of Business Proposal, Constitution, Memorandum, Article of Association and Company Profile [/FONT]

  [FONT=&quot]4.[/FONT][FONT=&quot]Preparation of business plans
  5.
  Business Restructuring
  6.Loan processing
  7
  .
  Business consultations
  8.
  Preparation of Research proposals [/FONT]
  [FONT=&quot]IT AND RELATED SERVICES[/FONT][FONT=&quot] [/FONT][FONT=&quot]
  GRAPHIC DESIGN
  1.
  Logo,Bill boards, Posters.
  2.
  Business cards, Identity cards (ID).
  3.
  Brochures Flyers, Invitation cards.
  4.
  Calendar,Product label Magazines
  5.
  Photo Editing and Retouching Special Envelope, Movie covers
  6.
  Website, Blogs and Systemdesign and development
  7.
  Computer maintenance
  8.
  Computer software installation
  9.
  Network designing and installation
  10.CCTV installation
  11.
  AC installation and maintenance[/FONT]
  [FONT=&quot][/FONT]
  [FONT=&quot]
  Business in the smooth environment ensures growth


  [/FONT]
   
Loading...