Nguvu Ya Rangi Katika Biashara Zetu
Na: Albert Sanga, Iringa.
Leo nitawapitisha wajasiriamali katika somo muhimu kuhusu rangi. Je, unafahamu chimbuko la neno yeboyebo hapa nchini? Twende pamoja...
Habari zenu Watanzania,
Ninataka kuagiza mashine ya kuchimba visima ila sijui ni vitu gani muhimu vya kuangalia kwenye mashine.
Kuna hii hapa nimeona kama iko poa sana ila nahitaji ushauri kama...
Kampuni ya kimataifa ya teknolojia ya malipo, imetangaza rasmi ushirikiano wa kimkakati kati yao na Maxcom Afrika ambayo itawawezesha wauzaji zaidi ya 30,000 kupokea malipo ya Visa kwa kutumia...
*GOOD NEWS: TUME YA TAIFA YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA YATANGAZA FURSA KWA VIJANA WOTE WAJASIRIAMALI NA WABUNIFU*
[emoji383] *Million 40.Tshs watapewa Kwa kila wazo bora ambalo litaleta maendeleo...
Wakuu habar, nategemea kusafir kwenda dubai mwezi ujao.
Naenda kununua vifaa vifuatavyo
Tv za inch 32 nne, zenye thamanai ya kama dirham ya UAE 600 kila moja , xbox 1 x yenye thamani kama ya...
Heshima kwenu wanajamii wenzangu tunaokutanika katika mtandao huu. Niende moja kwa moja kwenye mada husika.
Kutokana na hali ya uchumi kuwa ngumu na mazingira ya kibiashara kuwa magumu ni awzi...
Habari ya asubuhi wakuu,
Naomba ushauri ,ni bank gani nzuri kufungua account na Kwa kigezo kipi kuangalia kabla ya kufungua . Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
hello,
nikiwa kama mwakilishi wa RESEARCH AND CHEMICAL ANALYSIS AGENCY (RCAAT) napenda kuwahabarisha wajasiriamali kuwa tunatoa msaada wa (majadiliano ya ubora wa bidhaa) consultation, (upimaji wa...
Kama vifaa vilivyomo kwenye makontena ya Mh. Makonda bandarini vitagawiwa Tanzania nzima basi sina tatizo na kusamehewa kodi.
Lakini kama ni kwa Dar es Salaam tu siungi mkono kwasababu itakuwaje...
Habari zenu wanajf, Binafsi katika maisha yangu nimepitia changamoto nyingi sana za maisha kama kijana, Vijana tulio wengi tuna mawazo mazuri ila kikwazo kikubwa huwa ni mtaji. kama kijana ni moja...
Ndugu wapendwa napenda kujuwa kuhusu biashara ya fedha za kigeni (usd/ tshs) zinazofanywa kwenye mipaka yetu hususa Tunduma, nilipanda gari za IT zinazoenda mpakani, ndani ya ile gari kulikuwa na...
Habari zenu wanaJF
Lengo la uzi huu ni ukuomba msaada wa mawazo pamoja na ushauri wa hiki ninachofikilia kukifanya, maana naamini humu kuna watu tofauti.
Nadhani katika pitapita zenu mmekutana na...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Jamani HUU NI MTAZAMO WANGU BINAFSI LARA 1!! (Hii sio dini na mimi sio nabiii so sitegemei wote mseme AMINA kuitikia pasi kupinga hoja yangu...
Naomba kuelemishwa Wana Jamiforums. Wiki iliyopita thamani ya Shilingi ya Tanzania ilikuwa $1=2450 leo thamani ya Shillingi ni $1=2498. Hivi kwa tarakimu hizo mfumuko wa bei umepungua au...
Wabari za kazi wakuu.
Huko nyuma nilileta Uzi kuhusu TRA kunikadilia kodi kubwa tofauti na biashara,
Nikachukua ushauri wenu wengi wakiniambia niende kwa meneja wa tawi lakin hakunielewa...
Heshima kwenu Wakuu,
Tafadhari naomba kufahamishwa Vibali vinavyohitajika ili mtu aruhusiwe kutoa huduma ya fumigation. Pia kama kuna taratibu zozote za kufuata au vigezo anavyopaswa kuwa navyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.