Mizigo ya kulipia forodha

Mizigo ya kulipia forodha

wiser1

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
2,606
Reaction score
3,979
Habari nyote, naomba kufaham ni aina gani na shilingi ngapi inayotakiwa kulipiwa forodha / ushuru kwa mizigo inayotoka nje ya nchi.

Asanteni
 
Habari nyote, naomba kufaham ni aina gani na shilingi ngapi inayotakiwa kulipiwa forodha / ushuru kwa mizigo inayotoka nje ya nchi.

Asanteni
Ingia website ya TRA utaona categories za import zote na kodi ya kuilipia itatofautiana bidhaa na bidhaa
 
Back
Top Bottom