Pesa ni M-Pesa, Lipa kwa M-Pesa pata zawadi za papo hapo

Umeshawahi kufanya malipo kwa kutumia huduma ya Lipa kwa M-Pesa?

  • Total voters
    24
  • Poll closed .

Vodacom Tanzania

Verified Member
Aug 12, 2013
320
250
Tuma Pesa copy 3.png

Katika kusherehekea msimu huu wa Sikukuu, kampuni ya mawasiliano nchini Vodacom Tanzania imewaletea wateja wake na Watanzania kwa ujumla kampeni inayokwenda kwa jina la PESA NI M-PESA. Kupitia kampeni hii wateja watapata zawadi za papo hapo wanapofanya malipo ya huduma au bidhaa kupitia M-Pesa. Malipo kwa njia ya M-Pesa ni salama na rahisi. Unaweza kulipa kutoka mitandao yote na benki ujipatie zawadi za papo hapo.

Kila mtu ni mshindi na M-Pesa. Hakuna makato unapolipa kwa wafanyabiashara waliosajiliwa. Piga *150*00# au tumia M-Pesa App kulipa.

Rainbow Veins

JF-Expert Member
May 24, 2017
9,488
2,000
Hivi nyie vodacom kwann hamtoi special offer kwa wateja wenu wa muda mrefu?? mfano wenye namba 0754 obviously ni wa zamani kwanini hamjui kuwashukuru wateja wenu kwa kukaa na nyie miaka yote hiyo?? au kuna vigezo gani hua mnavifanya.
 
flamini

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
452
500
Hivi nyie vodacom kwann hamtoi special offer kwa wateja wenu wa muda mrefu?? mfano wenye namba 0754 obviously ni wa zamani kwanini hamjui kuwashukuru wateja wenu kwa kukaa na nyie miaka yote hiyo?? au kuna vigezo gani hua mnavifanya.
Kha kwani umelazimishwa udumu mpaka wakupe/ uwalazimishe offer?inaonekana umedumu mda mrefu sababu wanakuhudumia vizuri na wewe umeridhika.win win
 
Vodacom Tanzania

Verified Member
Aug 12, 2013
320
250
Hivi nyie vodacom kwann hamtoi special offer kwa wateja wenu wa muda mrefu?? mfano wenye namba 0754 obviously ni wa zamani kwanini hamjui kuwashukuru wateja wenu kwa kukaa na nyie miaka yote hiyo?? au kuna vigezo gani hua mnavifanya.
Hello,
Tuna Ofa mbalimbali kwa wateja wetu, kwa sasa kuna ofa ya YakwakoTu ambayo inapatikana kwa kupiga *149*01# na pia zawadi za MB na Dakika kwa kila mtumiaji wa huduma za M-pesa.
Karibu sana.
 
Victor wa happy

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
11,677
2,000
Hello,
Tuna Ofa mbalimbali kwa wateja wetu, kwa sasa kuna ofa ya YakwakoTu ambayo inapatikana kwa kupiga *149*01# na pia zawadi za MB na Dakika kwa kila mtumiaji wa huduma za M-pesa.
Karibu sana.
Haha Voda mnambwembwe nyie

Haya nisamehen Kuna den la 1000 huko kwenu km kweli mnajal wateja
 
everlenk

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
11,604
2,000
Mimi mnanikera sana viofa vyenu vya uongo, mfano hiyo ya kwako tu nikajiunga ya 500 mkanipa mb 150 nimefungua wasap sijadownload picha wala video ,nataka kuupdate FB naambiwa MB zimeisha cha ajabu hata hizo 15 mlizonipatia zimeisha maana nilinunua kwa Mpesa, upande wa data mko hovyo sana japo internet yenu siyo mbaya mnajitahidi hata sehemu za ndani mnapatikana,kwa bei na ofa za uongo siyo siri zimenishinda,na hii siyo mara moja,kuna siku mlininunulisha vocha za 20 elf bila kupenda kwa siku moja.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom