M moses elius Member Aug 4, 2018 8 0 Aug 23, 2018 #1 Jamani Nina kreti 20 nahitaji kujiunganisha na coca-cola ili waniletee na niuze jumla... Je inawezekana vipi..! Msaada wapendwa..? Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani Nina kreti 20 nahitaji kujiunganisha na coca-cola ili waniletee na niuze jumla... Je inawezekana vipi..! Msaada wapendwa..? Sent using Jamii Forums mobile app
mosabiy JF-Expert Member Jul 3, 2017 2,501 1,901 Aug 23, 2018 #2 Nenda ofisini kwao. Tena wanaweza kukupa na friji yao ila usiweke soda zingine Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda ofisini kwao. Tena wanaweza kukupa na friji yao ila usiweke soda zingine Sent using Jamii Forums mobile app