Mimi ni fundi simu, Je natakiwa kuwa na leseni?

Blue Heart

New Member
Feb 1, 2017
2
0
Habarini ndugu zangu,mimi najishughulisha na ufundi cm je nitatakiwa nami kwenda kukata lesen ya biashara kutokana na kazi hiyo ya ufundi au la?
 
Yes kibali kutoka TCRA, Maana ni kinyume cha sheria kuflash simu hivyo ni vizuri ukatambulika kwao
 
Back
Top Bottom