Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,014
- 144,372
Kama kweli hii reli ya kisasa inajengwa kwa mtindo huu wa kutafuta fedha huku mradi ukiwa teyari umeshaanza tunaweza kweli kukamilisha mradi huu ukiwa umekidhi viwango vya ubora unaotakiwa na kwa ukamilifu?
Je, ni kweli hata hivi vipande vinavyojengwa kwa awamu vina fungu la kutosha kwa kila kipande?
Japo ujenzi wa reli sio sawa na ujenzi wa nyumba; lakini je,kwa mwendo huu, hatuwezi kuja kujikuta tunafanana na mtu anaejenga nyumba kubwa kuliko uwezo alionao na matokeo yake anafanya finishing isiyolingana na hadhi ya nyumba anayoijenga?
Au ndio tutakuja kusema kulikuwa na upigaji ndio maana mradi haukakamilika kwa kiwango kinachotakiwa iwapo hali hii itakuja kujitokeza huko mbeleni?
Sitashangaa reli hii ikaja kuanza kutumika huku vitu vingi vikiwa bado havijajamilka
Nawaza tu.
Uzalendo kuhoji, kusifiia mapenzi.

Last edited: