Wadau,naomba kwa wenye ujuzi/wazoefu wa biashara ya pembejeo za kilimo na mifugo (kama vile madawa,mashudu n.k) anijuze taratibu za kufuata ili kuanzisha duka ikiwa na vigezo vya kitaalamu kama...
Mwakasaka Boaz ni Msomi na Mtaalamu wa masuala ya Uchumi na maendeleo ya kijamii, Nishati Mbadala na Mtafiti wa kujitegemea Anajua kwamba katika dunia hii sababu kubwa na kikwazo kikubwa cha...
Hello wanaJF,
Ninataka kuanza kazi za udalali wa nyumba za kupanga, kuuza na viwanja hapa Arusha, ila nataka zaidi nijikite kwenye nyumba za kupanga!
Nipeni uzoefu, changamoto na namna bora za...
Habari wana JF,
Naomba nijikite moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.Mimi ni Mtanzania ila nimekuwa na bahati ya kuwa na connections/kujuana na watu walio ng'ambo (Europe, America na Asia) na...
You don't have to be the one waking up and hearing that there is a new Millionaire in town.
Probably luck was on their side after they placed a multi bet and won.But you shouldn't worry since...
Habari za wakati wakuu
Kuna mzigo nataka kuagiza (Israel) nimewasiliana na Seller wa uko akasema ana option moja tu
Ya Israel Post
Vipi hii (shipping method) ipo vizuri na wanafikisha mzigo kwa...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu naomba msaada sehemu ambayo naweza fungua biashara ya CHIPSI na itaenda vizuri kwa kuzingatia wateja na location yenyewe ikoje
, sehem iwe ndani ya...
Habari zenu wadau,
Ningependa kupata msaada wa biashara ya bucha katika maeneo ya Dar. Ningependa kufahamu costs za kufungua biashara hio zilivyo, gharama za uendeshaji pamoja na namna faida...
Tangia mabadiliko yafanyike ya pesa ya shilingi mia tano mwanzo ilikuwa ni noti lakini sasa ni sarafu, changamoto tunayoipata wananchi ni kwamba hii pesa imekuwa ni kero hasa zikiwa nyingi wenye...
Habari wakuu.
TMX ni moja ya shirika lililopewa dhamana ya kuwaingizia wakulima pesa zao baada ya mnada kufanyika na wafanya biashara kulipa pesa husika.
Ila tangu mnada wa mwezi July mpaka leo...
Gazeti lililosajiliwa kila kitu, liliwahi kuwa mtaani matoleo matatu likasimama, makadirio ya sh. Milioni 5 au 6 zitatosha. Kama una nia ya kuwekeza katika biashara hii, nijulishe tupange, mimi...
Napenda sana kufanya investment tatizo sijui pa kuanzia.
Naombeni msaada hata kidogo tu kuhusu uwekezaji na kama unajua taasisi za ndani ya nchi au hata nje ambao wanaruhusu kufanya uwekezaji...
Wakuu,
Nimepata wazo la kuanzisha kampuni ya udalali hasa wa nyumba, viwanja, magari na electronics zingine.
Nahitaji kujuwa:
1. Ni shilingi ngapi zinahitajika ili kusajili kampuni ya namna hii...
Wakuu heshima kwenu...
Kijana wenu niko hapa kuomba nasaha zenu maana hili jukwaa lina wengi wabobezi na wajuzi..!
Nimefikiria biashara ya kuanza kwa mtaji wa mil 30, kwa haraka haraka nikawaza...
Naomba msaada kwa wataalam na wenyeuzoefu.
Ninakiwanja mkoa wa mara, nimedunduliza vipesa vyangu kiasi cha milioni 4. Je naweza jenga msingi imara wa vyumba vitatu self contained?
Habari wakuu naomba ushauri nataka kufungua biashara ya kuuza mitumba ya watoto mkoani Mbeya na sehemu nzuri ambayo ina mitumba mingi Ni kabwe Ila changamoto ni upatikanaji wa frame au meza kwa...
Ijumaa Desemba 6, 2019 treni ya abiria itakayokuwa ikitoa huduma ya usafiri kati ya Dar es Salaam na Moshi, mkoani Kilimanjaro ilirejea baada ya kupita miaka 25. Treni hiyo yenye mabehewa manane...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.