Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari wakuu, naombeni suggestions za baadhi ya kampuni hapa Dar zinazotransfer pesa kutoka Tsh. kwenda Kichina ndani ya siku moja na yenye service charge pamoja na rates nafuu Asanteni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini wapendwa, Naomba kufahamu ni maduka/maeneo gani Kariakoo nitapata bidhaa za viungo kwa bei nzuri ya jumla kwa ajili ya kuuza rejareja. Lakini pia, naomba mapendekezo ya viungo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimepata wasaha wa kuingia kwenye tasnia ya biashara na kwakuwa mimi ni kijana bado basi nimetumia muda wangu kufanya tafiti mbalimbali juu ya biashara. Leo nataka kuzungumzia suala la biashara...
5 Reactions
9 Replies
3K Views
Karibuni kwa mjadala nafanya online business lakini nimekuwa nakutana na swala la Uaminifu Ni kweli dunia Imeharibika kuhusu Uaminifu je mwenzangu ulifanikiwa vipi kuhusu Uaminifu mtu anahofia...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Umofia kwenu wanaJamiiforums, Ndugu zangu nimejiunga na Freelancer Website ili kutafuta kazi za kwenye Mtandao lakini kuna mambo sijayaelewa kuhusu kupata malipo kutoka kwa employer wako...
0 Reactions
37 Replies
8K Views
Tsh 50,000 TU
1 Reactions
0 Replies
752 Views
Habarini wanajukwaa Kuna ndugu yangu kaomba kunitumia pesa kupitia bank account, naomba kufahamu yafuatayo: 1. Je, itaingia kwenye Account direct, mie niende tu kutoa ATM? 2. Je, makato yake yapoje?
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Habari Wadau, Leo nimeona niwashauri GSM juu ya kupata Faida na kujitangaza Tanzania hata nje ya Tanzania kwa kuitumia Yanga. GSM najua wanawekeza Yanga pesa nyingi ila kwa limit ya kuogopa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tunawaomba veta mtengeneze kichumba kidogo chenye kiti, dirisha la ndege, meza, mkanda wa ndege, mlango sawa na wa ndege, taa nzuri za ndani ya ndege, ili watu wanaopenda ndege wawe wanapiga picha...
5 Reactions
5 Replies
2K Views
Malipo kwa njia ya PAYPAL; Hii ni njia au huduma nzuri sana na ya haraka kulipwa au kulipa hela. Ni huduma inayotumika sana Duniani kwa sasa. Lakini nchi yetu ya Tanzania hususan Benki kuu...
1 Reactions
28 Replies
12K Views
Engineers at ATC have made a prototype helicopter model that is currently in its final stages of completion and they projecting it will officially take to the sky by 2018. It is a two-seater...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Habari ndugu Mimi ni kijana mwenye taaluma ya upishi pia nimechukuwa certificate ya maswala ya planning and so on. Hivyo kwa sasa nilikuwa natafuta baadhi ya vifaa vya mgahawa iwe kwa ajiri ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini za leo ndugu zangu najua wote wazima wa afya kabisa Leo nataka kuwajulisha juu ya hili swala la wizi wa mitandaoni hasa hii mitandao ya kijamii. Twitter, Face book, Instagram, Email...
5 Reactions
15 Replies
3K Views
Wadau, Wataalamu wa personal finance kibongobongo unatakiwa kodi ya nyumba isizidi asilimia ngapi ya mshahara wako?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kuna watu wanachanganya mambo mara Barclay kainunua NBC, BarclayAfrica hajawahi kuinunua NBC bali NBC ilinunuliwa na ABSA ya South Africa. Hawa ABSA ndio sasa wameinunua Barclay Africa. Pia...
4 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau kwema? Naomba mtu anaeweza nipa A,b,C namna ya kuanza biashara ya kua wakala wa mizigo kwa meli yetu pendwa New Mv Victoria.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna sababu nyingi lakini nitakuelezea kwa uchache tu 1. Biashara ya kujenga inahitaji mtaji mkubwa hivyo basi uwa utajenga sehemu ya biashara kwa rengo la kutunza fedha na ndani ya Hiro iyo...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Heshima yenu wakuu naomba kuuliza jamani. Kuna mtu anauzoefu wa biashara ya Ice Cream za Azam kwa wale wanao tembeza kifuani wamevaa mankotena? Naomba mnisaidie utaratibu unakuwaje?Unachukulia...
5 Reactions
7 Replies
8K Views
Hii hali nimeiona Kwa watu wengi waliofanikiwa kiuchumi, huwezi kuta tajiri ana mazoea ya karibu na msukuma mkokoteni, yani tajiri huwa ana-socialize na matajiri wenzake tu, nyie wenyewe mnaweza...
2 Reactions
36 Replies
6K Views
Back
Top Bottom