Kazi ya udalali: Changamoto na namna bora ya kufanya kazi hii

Miiku

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
3,835
2,000
Hello wanaJF,

Ninataka kuanza kazi za udalali wa nyumba za kupanga, kuuza na viwanja hapa Arusha, ila nataka zaidi nijikite kwenye nyumba za kupanga!

Nipeni uzoefu, changamoto na namna bora za kufanya kazi hii.

Kazi ikiwa nzuri na mpango wa kufungua ofisi physically ya kupatikana. Niwe na kausafiri ka kupeleka wateja Sites.

Kwa sasa hivi najishughulisha na biashara ya vifaa vya ujenzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom