Msaada wa kuanzisha biashara ya bucha katika maeneo ya Dar

Byakuzana

Member
Mar 25, 2016
29
22
Habari zenu wadau,

Ningependa kupata msaada wa biashara ya bucha katika maeneo ya Dar. Ningependa kufahamu costs za kufungua biashara hio zilivyo, gharama za uendeshaji pamoja na namna faida inavyoweza kupatikana.

Nyama ya ng’ombe pamoja na mbuzi ndio kipaumbele zaidi.
 
Back
Top Bottom