KingPower
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 1,148
- 1,907
Habari za wakati wakuu
Kuna mzigo nataka kuagiza (Israel) nimewasiliana na Seller wa uko akasema ana option moja tu
Ya Israel Post
Vipi hii (shipping method) ipo vizuri na wanafikisha mzigo kwa wakati?
Maana est derived time ni 23sep to 6Nov.
Wasije wakawa kama China post (mzigo kuchelewa sna au usifiki)
Naomba uzoefu wenu wa hii shipping method!
Natanguliza shukrani zenu.