Naombeni msaada sehemu ambayo naweza kupata kwa ajili ya kufungua biashara ya chipsi

Masterplan

JF-Expert Member
Dec 10, 2019
209
348
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu naomba msaada sehemu ambayo naweza fungua biashara ya CHIPSI na itaenda vizuri kwa kuzingatia wateja na location yenyewe ikoje
, sehem iwe ndani ya Dar es salaam.

"only the dead have seen the end of the war"
 
Mkuu wewe ndio Masterplan tunatarajia plan zetu tukueleze wewe ili uweze kutusaidia.

Mkuu jaribu kuangalia Mbezi mwisho, au Kinyerezi au MALAMBA 2 , hapo malamba niliishi kipindi fulan lkn hakuna sehem yakueleweka wanayouza chips kama unamtaji mkubwa kidogo ningekushauri ujaribu malamba 2 pia hata chakula maeneo yale nishida, wanaouza wengi nimamantilie wachafu wachafu kama unaweza kuwa namtaji hata wa mill 3/4 pale unaweza fanya Jambo .
 
Sawa mkuu nimekupata nitalifanyia kazi,,
Ila Mbezi mwisho mfano pale sehem gan
 
Nashukuru...Ila huwezi zunguka kila sehem
Point maeneo yako ya kutembelea kama ma tano hivi

Then unayatembelea unayafanyia upembuzi yakinifu kuanzia vitu kama
Population?
Bei ya mabanda?
Nini watu wanakihitaji?
Pana changamoto zipi?

Mfano mm nilitaka kufanya business hiyo pale ferry 2015 niliahindwa sababu ya bei ya mabanda ila nkaenda sehem nyingine nkapata

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom