Nahitaji mtu wa kushirikiana naye kwenye biashara ya Properties management, land & house brokers, Debts Collection.
Awe Arusha na mwaminifu.
N.b. kampuni tayari ipo
Jana Rais wa Ghana ametangaza kuruhusu safari za ndege za kimataifa na kuruhusu kufunguliwa kwa uwanja wa ndege wa Accra, na wiki ijayo China nao watafungua anga lao.
Kuna wanafunzi wengi wa...
Moja kwa moja kwenye mada.
Nimefikiria nikaona makoti ya leather ni mojawapo ya vitu vinavyoheshimiwa na watu hasa wa ile kanda yetu.
Hivyo naombeni ushauri wenu kuhusu upatikanaji...
Success… We all aspire to it, talk about it, envy those who achieve it, we think about it, fight for it. It is really worth it. Success comes with reaching our aims and it brings us incomparable...
Habari, ndugu na jamaa wa jukwaa hili pendwa la biashara, leo nataka kuweka uzoefu wangu wa mwaka mmoja wa kuanzisha, kusimamia, kuendesha na kufundisha nussery and day care kwa hapa mjini , hii...
Wakuu baada ya post nyingi za " anaefahamu jambo hili anisaidie ", "mwenye kitu hichi anisaidie" nk nimeona nirahisishe tukutane hapa kila mtu ataje japo kitu kimoja anachokifahamu kinaga ubaga...
Do you want to start a Maize Milling Business? Unga wa ugali?
Then get this 85-page guide which contains:
1. Overview
2. The Opportunity
3. The Upcountry Choice – Case Study
Disadvantages...
Wadau najiuliza swali naomba mwenye jibu aniambie hivi nani anaelipa kodi kwa Serikali ya Tanzania mtumiaji wa hii mitandao au mmiliki wa hii mitandao.
Kama ni miliki kivipi na kama si kweli...
Habari,
Jamani kuna mtu IG anajiita #vifurushi_mitandao yote(Kama sjakosea)
Asee huyu mtu nlim DM akanishawish kwa screenshot nkapenda huduma hiyo nkamtumia elfu 10
Yani unambia baada ya kutuma tu...
Nataka kufanya Analysis ya mzee Dewji alivyokuwa anaongea kuhusu deni letu la Taifa in comparison to USA jana wakati wa kongamano la dini pale Dodoma. Akasema USA inadaiwa mara 2o ya deni letu so...
Anaandika @gilsaint Kutoka Twitter
Biashara yoyote iwe mpya au ya zamani ina changamoto zake especially kwenye mazingira yetu. 50% Ya biashara zote ndogo zinakufa katika mwaka wake wa kwanza...
Habari wakuu,
Kuna ongezeko kubwa la wauza movies mjini, kwa wingi zaidi maeneo ya Sinza na Kinondoni. Hii ni biashara ambayo inaonekana inakua kwa kasi.
Wanachokifanya ni kudownload movies za...
Moshi yote:
*Hakuna Toyota branch;
* Hakuna Authorized Dealer;
* Hakuna Authorized Service Workshop;
*Hakuna hata Authorized Parts Dealer
Nilisikiaga kuwa Moshi ni jiji, why Toyota Tanzania...
Ili kulishinda soko bila kujitangaza sana ni kuandaa mabango kila mtaa,masoko,vyuoni na kadhalika na kuweka picha za watu wanaojulikana ktk mitaa hiyo,masoko hayo,vyuo hivyo wakiwa na simu za...
Pesa ikiwepo, utasomeshwa shule nzuri, utatimiziwa mahitaji yako kwa wakati ,somo kama hulielewi vizuri utaletewa mpaka private teacher nyumbani.
Utasoma chochote kile ukifika chuoni na utasoma...
Mimi nimewahi kuleta uzi hapa kuhusu ya kwamba natafuta mtu ambae atakuwa tunafanya biashara ya nazi.
Kweli nilipata mtu amenambia yupo sokoni Ilala ila sina hakika; mara ya kwanza nilimpekea...
Kama unauza vifaa vya ki electronic sana sana vifaa vya simu, kompyuta nk jaribu hii njia kujiongezea kipato.
Nunua vifaa vya ufundi kisha muajiri fundi aje kufanya kazi kwenye ofisi yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.