Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 604
- 218
Napenda sana kufanya investment tatizo sijui pa kuanzia.
Naombeni msaada hata kidogo tu kuhusu uwekezaji na kama unajua taasisi za ndani ya nchi au hata nje ambao wanaruhusu kufanya uwekezaji.
Naomba mnitajie kwa gharama nafuu.
Naombeni msaada hata kidogo tu kuhusu uwekezaji na kama unajua taasisi za ndani ya nchi au hata nje ambao wanaruhusu kufanya uwekezaji.
Naomba mnitajie kwa gharama nafuu.