Msaada wa wazo la biashara/uwekezaji

Msaada wa wazo la biashara/uwekezaji

Forforty

Member
Joined
Nov 13, 2019
Posts
85
Reaction score
87
Habari wana JF,

Naomba nijikite moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.Mimi ni Mtanzania ila nimekuwa na bahati ya kuwa na connections/kujuana na watu walio ng'ambo (Europe, America na Asia) na kufanya nao baadhi ya kazi.

Kwasasa nataka kufanya nao biashara, naomba mawazo yenu aina za biashara 5 kubwa/uwekezaji mkubwa ambao naweza kufanya nao kwa hapa nyumbani Tanzania.
 
1. Fungua kampuni ifanye Kati ya haya

i/ General supply
ii/ Logistics
Hapa Kama una connection utapiga hela mkuu kama kweli una connection.

2. Au fungua kakiwanda kadogo kenye mashine ya kusaga mahindi na kupackage unga wa mahindi kwa matumizi. Hakikisha unasaga unga wa sembe na Dona , kwa Dar utapiga hela mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana kwa mawazo yako Kiongozi
 
Wekeza kwenye kilimo cha kisasa lima hasa maharage, ndizi za biashara mbivu, parachichi pia unaweza kufanya kilimo cha miti wakati unaandaa na kusubiri kwa miaka 6-8 ili uvune anzisha kampuni ya kuuza mbao na kutengeneza furniture za kisasa ambazo zina chapa yako ya hapa ndani na nchi jirani. pia unaweza kuanzisha kiwanda cha mbolea.

Tanzania Kilimo kinalipa pia tuna upungufu wa mbolea kwa 60% kwasababu nyingi tunaimport kutoka nje hapa kwenye kiwanda ukifanikiwa utaweza kuziudumia hata nchi za Rwanda, Burundi, Uganda na Congo ila all in all kama hauna njaa wekeza kwenye kilimo cha muda mrefu kama miti, ndizi na parachichi.

Pia unaweza kuwekeza kwenye kiwanda cha unga maana wabongo tunazaliana na kula lazima tule ufunge vizuri uwe na chapa inayovutia watu wengi wamewekeza kwenye sembe wewe unaweza wekeza kwenye dona, muhogo, mtama pia ulezi focus ni kuwa na kitengo kizuri cha masoko utatoboa.

Mimi nipo kwenye kilimo cha miti ndizi, maharage, parachichi na ufugaji wa sato(bwawa) sijawahi kujuta.
 
Wekeza kwenye kilimo cha kisasa lima hasa maharage, ndizi za biashara mbivu, parachichi pia unaweza kufanya kilimo cha miti wakati unaandaa na kusubiri kwa miaka 6-8 ili uvune anzisha kampuni ya kuuza mbao na kutengeneza furniture za kisasa ambazo zina chapa yako ya hapa ndani na nchi jirani. pia unaweza kuanzisha kiwanda cha mbolea.

Tanzania Kilimo kinalipa pia tuna upungufu wa mbolea kwa 60% kwasababu nyingi tunaimport kutoka nje hapa kwenye kiwanda ukifanikiwa utaweza kuziudumia hata nchi za rwanda, burundi, uganda na congo ila all in all kama hauna njaa wekeza kwenye kilimo cha muda mrefu kama miti, ndizi na parachichi.

Pia unaweza kuwekeza kwenye kiwanda cha unga maana wabongo tunazaliana na kula lazima tule ufunge vizuri uwe na chapa inayovutia watu wengi wamewekeza kwenye sembe wewe unaweza wekeza kwenye dona, muhogo, mtama pia ulezi focus ni kuwa na kitengo kizuri cha masoko utatoboa.

Mimi nipo kwenye kilimo cha miti ndizi, maharage, parachichi na ufugaji wa sato(bwawa) sijawahi kujuta.
Unalimia wapi
 
Back
Top Bottom