Habari wadau nina idea ya biashara fulani na location niliyotarget ni pale Kigamboni au Kivukoni kwa wajuvi nikitaka kuweka kibanda pale nafuata hatua gani.
Salute Bosses!!
Karibu kwenye mada yetu ya leo,,,
Leo ningependa tujue umuhimu wa kusona vitabu na makala za kuelimisha,lakini pia tujifunze na kuanza kujisomea vitabu.
FAIDA ZA KUSOMA VITABU...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mimi nimpambanaji mdogo baada ya kuingia porini kutafuta mtaji wa mil.4 nikaingia mjini kufanya ziara yangu; niliifanya Kanda ya Ziwa, kuna biashara...
Swali:
Je! Ninapaswa kununua vitu vizuri NINAVYOVITAKA ikiwa ninaweza kumudu?
Jibu:
Ndio, lakini panga kwa hilo. Maisha yatakuwa ya ovyo ikiwa tutanunua tu vitu tunavyohitaji tu kama chakula...
Naomba kuuliza wanaofanya/waliowahi kufanya hii biashara
Camera gani nzuri kufanyia video na photo shooting?
Camera ziwe ngapi katika usiku wa shughuli kwa ufanisi zaidi?
Wanaepukaje changamoto...
Habari ndugu zangu wa jamii forums natumai mu wazima..
Kuna ndugu yangu anahitaji na anatamani kufanya hii biashara ya PHONE AND ELECTRONIC ACCESORIES. jana aliniuliza kuhusu mtaji wa kuanza nao...
Habari!
Waswahili wana msemo kuwa asiyesifia kwao ni mtumwa. Ila mimi nina mtizamo wa tofauti ya kwamba utakuwa mtumwa wa fikra mara mbili kama unaujua ukweli halafu unasema unafiki ama uongo...
Huduma IPI ni nafuu kati ya makampuni ya Tigo, Vodacom, Airtel, TTCL, Halotel na Zantel ili sheria ikianza ya kutumia line moja nijiunge na kampuni moja wapo?siitaji line mbili..msaada
Na...
Wakuu habari, natafuta 'connection' ya soko hasa la nje ya nchi, la kuuza soya na mboga mboga. Ikiwa serious buyers watataka kuingia mkataba niwe nasupply itakua ni jambo jema zaidi. Kwa...
Wakuu kama kichwa kinavyojieleza,naomba kujuzwa zaidi aliewahi kununua bidhaa kwao je ni za uhakika na ubora kama zinavyotangazwa?!
Nimeona matangazo yao Instagram
Wakuu naomba kufahamu ni wapi lilipo soko la ulezi na bei ni sh ngapi kwa gunia. Kuna jamaa yangu ana gunia kama 70 hivi kule Singida anahitaji kuuza.
Naomba kuwasilisha.
Nahitaji kuanza kuagiza bidhaa kupitia magari ya kampuni husika(hasa Mo)
Naomba kujua utaratibu wa malipo mpaka mzigo kufikishwa ofisin
Je bei zao zipo rafiki??
Na je oda wanaanzia ngapi??
Na...
It indeed true that Africa as whole is a fast developing continent in the world today.
Also it includes such developments as modern infrastructures, architectures and designs.
It is also a known...
Natafuta wafanya biashara wanaotoa na kuuza bidhaa zao kwa mkopo. Namaanisha suppliers ambao wanaweza kukupa bidhaa au huduma na ukalipa kwa instalments labda kwa miezi2, 3, 6, 9 au 12...
Na Bikira konk
1. Miaka mingi iliyopita nilialikwa kwenye "listening party" ya wimbo na video ya "My Favorite Artist Wangu Of All Times Lady Jay Dee. "Listening party au watch party" ni "closed...
Hii ndio hali halisi ya nchi ilipofikia , pichani mkulima ambaye pia ni mchuuzi wa madafu akiona nyota nyota kichwani asijue la kufanya baada ya kuzingirwa na kikosi kizima cha mgambo huku...
Habari wakuu wa jukwaa hili.
Kwa muda mrefu sana nimekua nikitamani kufanya hii biashara ya catering na sasa naona kama ni muda muafaka wa kuanza.
Tafadhali naomba mwenye experience na hii...
If you focus on the SGR project nobody speaks of its economic and financial feasibility. It is just extreme politics; either we know nothing[CHADEMA] or these are strategic projects for the this...
Wakuu khabari za asubuhi, mimi kijana wenu mpambanaji ..naendelea kutafuta ni kwa namna gani naweza kujiongezèa kipato. Katika pita pita za town naona kuna fursa ya kufanya hii biashara ya matunda...
Naombeni kufahamu kwa wale wote wanaofanya kazi katika ofisi mbalimbali hasa katika makampuni, kwa plan kama yangu utaratibu unakuaje ili niweze kuwa nawaletea matunda ofisini kwenu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.