Naomba ushauri kuhusu biashara ya ng'ombe

spongy

Member
Feb 25, 2019
61
59
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mimi nimpambanaji mdogo baada ya kuingia porini kutafuta mtaji wa mil.4 nikaingia mjini kufanya ziara yangu; niliifanya Kanda ya Ziwa, kuna biashara niliipenda kuifanya, ya ng’ombe.

Nilikuwa naomba ushauri wa changamoto za biashara hii naitaji nianze na mil 2 tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mimi nimpambanaji mdogo baada ya kuingia porini kutafuta mtaji wa mil.4 nikaingia mjini kufanya ziara yangu niliifanya kanda ya ziwa kuna biashara niliipenda kuifanya ya ng’ombe nilikuwa Naomba ushauri wa changamoto za biashara hii naitaji nianze na mil.2 tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Biashara ya ng'ombe maana yake ya ni kuuza maziwa yake,ngozi,nyama yake au?
 
ni biashara nzuri ,ila soko zuri liko Dar,so itakuladhimu uwasafirishe hadi dar.
2m haitoshi mkuu
Soko liko dar seriously? Acha kukariri soko ni popote ata mnadani unanunua hapo hapo na kuuza muhimu uwahi na ujue bidhaa ama unanunua mnada mwingine na kuuzia mnada mwingine ama huo huo siku nyingine au unanunua kwa mfugaji kisha unaenda uza kwa mnada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soko liko dar seriously? Acha kukariri soko ni popote ata mnadani unanunua hapo hapo na kuuza muhimu uwahi na ujue bidhaa ama unanunua mnada mwingine na kuuzia mnada mwingine ama huo huo siku nyingine au unanunua kwa mfugaji kisha unaenda uza kwa mnada

Sent using Jamii Forums mobile app
umesoma vizuri nilichoandika au umekurupuka?
 
kwa upande wangu sion kama itakulipaa saan,mfno mwanza naona kuna sehem wanaita machinjion ndo sehm kama ya mnada,pale huwa matajir wakubwa wamehodhi biashara kwan wanawasafirisha ng'ombe kutoka mikoa jiran na kuja kuwachinjia pale,kwa hyo ni kama naona kwa mtaj wako hautawez kushindana nao,angalizo,nmetolea tu mfn kwa mwanza ila sijajua mikoa mingine hii biashara ikoje
 
Kila biashara na changamoto zake kuna madalali kila mnada.

Yaani anaingia mnadani hana kitu chochote ni mdomo wake tu ndo unamfanya atoke na hela ya maana na wanajuana hawa madalali kinoma.

Ukienda na mzigo wanaambizana huyo ni mgeni vipi Nani anachukua hiyo ng'ombe wanapanga ni fulani, basi wataanza kujipitisha na sera zao plus kejeri kama ni ng'ombe wa kisasa Kama Boran wanene na wanatumbo kubwa waanaza kukejeri hana nyama huyu ng'ombe amejaza mautumbo, kama ni nyankole wenye mapembe makubwa utasikia hana nyama huyu ana mapembe tu.
Daah jamaa wanazingua Kama una roho nyepesi unarudi na mzigo wako home.

Kikubwa tembelea minada ujifunze Kwanza namna ya kubagain maana kule wanatumia uzoefu hakuna mzani kusema utakuwa unapima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila biashara na changamoto zake kuna madalali kila mnada.

Yaani anaingia mnadani hana kitu chochote ni mdomo wake tu ndo unamfanya atoke na hela ya maana na wanajuana hawa madalali kinoma.

Ukienda na mzigo wanaambizana huyo ni mgeni vipi Nani anachukua hiyo ng'ombe wanapanga ni fulani, basi wataanza kujipitisha na sera zao plus kejeri kama ni ng'ombe wa kisasa Kama Boran wanene na wanatumbo kubwa waanaza kukejeri hana nyama huyu ng'ombe amejaza mautumbo, kama ni nyankole wenye mapembe makubwa utasikia hana nyama huyu ana mapembe tu.
Daah jamaa wanazingua Kama una roho nyepesi unarudi na mzigo wako home.

Kikubwa tembelea minada ujifunze Kwanza namna ya kubagain maana kule wanatumia uzoefu hakuna mzani kusema utakuwa unampima.

Hawa madalali wamejaa kila kona, wanazingua kinoma... kazi yao porojo tu na kejeli ila ndo wanaamua mali iuzwe bei gani hutaki unaacha.

Na wanapiga hela balaa, pumbavu sana.
 
Soko liko dar seriously? Acha kukariri soko ni popote ata mnadani unanunua hapo hapo na kuuza muhimu uwahi na ujue bidhaa ama unanunua mnada mwingine na kuuzia mnada mwingine ama huo huo siku nyingine au unanunua kwa mfugaji kisha unaenda uza kwa mnada
Wamekariri maisha ni Dar hawatembei kujua fursa zilipo
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mimi nimpambanaji mdogo baada ya kuingia porini kutafuta mtaji wa mil.4 nikaingia mjini kufanya ziara yangu; niliifanya Kanda ya Ziwa, kuna biashara niliipenda kuifanya, ya ng’ombe.

Nilikuwa naomba ushauri wa changamoto za biashara hii naitaji nianze na mil 2 tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Namimi naipendelea hii biashara asee
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mimi nimpambanaji mdogo baada ya kuingia porini kutafuta mtaji wa mil.4 nikaingia mjini kufanya ziara yangu; niliifanya Kanda ya Ziwa, kuna biashara niliipenda kuifanya, ya ng’ombe.

Nilikuwa naomba ushauri wa changamoto za biashara hii naitaji nianze na mil 2 tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ningepata mwenyeji Wa bunda anaifahimishe kuhusu mnada Wa ng'ombe Wa hapo ingekua vema I'll tufanye hii biashara.
 
Back
Top Bottom