pascal luoga
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 232
- 257
Habari ndugu zangu wa jamii forums natumai mu wazima..
Kuna ndugu yangu anahitaji na anatamani kufanya hii biashara ya PHONE AND ELECTRONIC ACCESORIES. jana aliniuliza kuhusu mtaji wa kuanza nao nikakosa jibu halisi la kumpa...
Sasa nilikuwa nahitaji kufahau kwamba yaweza kugharimu mtaji wa kiasi gani kwa kuanza nayo????
NOTE.
Yaani gharama ya kununua mzigo tu!!, ukiachana na frem na gharama nyngne za ukarabati.
Pia duka liwe na vifaa tu bali si SIMU. Yaani asiuze simu yoyote bali ni vifaa tu mfano. Chargers,headphones, memory card,covers, pads za kuchezea game......n.k
Pia duka liwe kidogo lina mvuto i mean ni frame, sio vbanda umiza kama vya tigo pesa...
Wenye ujuzi naombeni mjaribu kutoa ushauri juu ya hili.
AHSANTENI SANA, PIA NAWATAKIA JMOC NJEMA.