Soko la ulezi

Nyaubwii

JF-Expert Member
Sep 16, 2011
229
55
Wakuu naomba kufahamu ni wapi lilipo soko la ulezi na bei ni sh ngapi kwa gunia. Kuna jamaa yangu ana gunia kama 70 hivi kule Singida anahitaji kuuza.

Naomba kuwasilisha.
 
Wasaga nafaka wanaweza kuwa wateja wazuri wa bidhaa hii, umenikumbusha uji wa ulezi. Ngoja nimuulize mama mmoja ana mashine za kusagisha nafaka, nione anasemaje.
 
Nashukuru mkuu Malila kwa mchango wako. Wana jamvi wengine jamani mwenye kufahamu soko la ulezi naomba mnijuze.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom