Kama huna kitambulisho cha mmachinga usifanye biashara, utaumia

Kama huna kitambulisho cha mmachinga usifanye biashara, utaumia

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,385
Reaction score
289,498
FB_IMG_1559946076802.jpg


Hii ndio hali halisi ya nchi ilipofikia , pichani mkulima ambaye pia ni mchuuzi wa madafu akiona nyota nyota kichwani asijue la kufanya baada ya kuzingirwa na kikosi kizima cha mgambo huku akikabiliwa na tuhuma nzito za kukosa kitambulisho cha mmachinga
 
Dah!!!

Mwana kazungukwa kiasi kwamba hata hewa muda wowote ataikosa.

Si nilisikia wakiambiwa mtu anatakiwa awe anafanya mzunguko wa 4mill per year sasa hao nyang'au hesabu zao wamezigawanya au kuzizidisha vipi hadi wamuone huyo ana mzunguko huo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom