Nahitaji sehemu ya biashara Kivukoni au Kigamboni

ujuguhapa

Member
Jul 28, 2020
30
36
Habari wadau nina idea ya biashara fulani na location niliyotarget ni pale Kigamboni au Kivukoni kwa wajuvi nikitaka kuweka kibanda pale nafuata hatua gani.
 
Asa mkuu tukupe sijui data kwenye biashara hewa tuambie biashara gani ili mawazo yanapotolewa ukishindwa kufanya wafanye wenzako
 
Habari wadau nina idea ya biashara fulani na location niliyotarget ni pale Kigamboni au Kivukoni kwa wajuvi nikitaka kuweka kibanda pale nafuata hatua gani.
Nna mshikaji yupo pale kivukoni anafany hizo. mambo

Nikupe no?
 
Back
Top Bottom