I want to start a catering business

I want to start a catering business

Joined
Apr 4, 2019
Posts
81
Reaction score
90
Habari wakuu wa jukwaa hili.

Kwa muda mrefu sana nimekua nikitamani kufanya hii biashara ya catering na sasa naona kama ni muda muafaka wa kuanza.

Tafadhali naomba mwenye experience na hii biashara anipe mwanga kidogo wapi naanzia na changamoto zake ni zipi.

Sifahamiani na mtu yeyote wa karibu anayefanya hii biashara hivyo naomba kama kuna yeyote humu anaeweza kuni train kidogo kuhusu catering business nitashukuru sana.
 
Ukipata nafasi nenda Chuo cha Usafirishaji (NIT), kuna mama ni mzabuni na anafanya catering services nje ya Chuo. 'Analisha watu wengi, ofisi nyingi na kwenye vikao +seminars.

Ukifika ulizia mama best free
 
Upo maeneo gan? Mimi nilishawahi kufanya kazi chini ya catering moja kubwa sana pale Arusha.kampuni ilikuwa inadeal kubwa kubwa sana..mikutano ya pale AICC, jeshini, maharusi makubwa....nilifanya kama party time nilivyomaliza form4. Pm ipo wazi naweza kukuelezea baadhi ya vitu..hii biashara ukishajulikana utavuna ela sana.
 
Wazo zuri, gharama kubwa iko kwenye vyombo, na wafanyakazi.
Wafanyakazi wengi ni wezi mpaka aibu, wanaiba hata toothpicks, napkins, lazima waondoke na kitu wakishindwa kuondoka na, sahani, vijiko, michele na kuku!

Everyday is Saturday.............................. 😎
 
Nimecheka sana, huu ndo ukweli.

Back
Top Bottom