Michael Andrew Jr
JF-Expert Member
- Jul 1, 2020
- 219
- 665
Wakuu habari, natafuta 'connection' ya soko hasa la nje ya nchi, la kuuza soya na mboga mboga. Ikiwa serious buyers watataka kuingia mkataba niwe nasupply itakua ni jambo jema zaidi. Kwa mawasiliano zaidi nicheki hapa: Michael@rems-africa.com 0763732520.
Michael
Michael