Habari karibu katika andiko hili la story for change,Lenye kuhamasisha jamii kuelimisha na kubadili mitazamo hasi kuwa chanya yenye kuleta msukumo wa jamii iliyolala katika wimbi la umasikini na...
Kichwa cha habari kinajieleza, kwa wakazi wa maeneo tajwa hapo juu natarajia kufungua library ya kuuza na kukodisha CD. Sasa naombeni ABC zote za maeneo niliyotaja hapo juu, sehemu kwenye mzunguko...
Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania Bwana Macrice Daniel Mbodo amekutana na kufanya mazungumzo ya kibishara na Maafisa Biashara wa kampuni ya MultiChoice Tanzania maarufu kama DStv...
Hello wanajamii,
Ninataka nizifanyie kitu hizi 25million (after taxes, rents and fees) pale mjini Dodoma. So nilipata options tatu ambazo kwa kupitia uchambuzi na miongozo yenu inaweza kunisaidia...
Waja JF wasalaam
Natambua changamoto za biashara, hiz sio kwamba nilizipitia bado naendelea kuzipitia
Hivyo nilikuwa naomba kwa yeyote ambaye angalau anauwezo ktk hii biashara tushirikiane...
Hello! Heshima kwenu.
Kwa wajuvi katika sector ya usafilishaji wa anga(airline). Naomba muongozo wa taratibu za kuwa travel agency wa kampuni za ndege.
Kama uko na A.B.C juuu ya hiri swala...
Habari zenu wakuu,
Naomba msada kwa anayejua Charges za Simbanking kutoka Account ya CRDB kuhamisha kwenye account ya NMB kwa kiasi cha kama 2m mbili makato ni kiasi gani?
Si mnajua kwasasa kila...
Kuna biashara za misimu, na katika hizi biashara kuna biashara niliyoshuhudia kwa macho yangu iliyotajirisha mno vijana, biashara hii ilikuwa ni ku burn cd miaka ya 2000 hadi 2006
Mimi...
Habar zenu wana JF.
Naomba kujua kampuni zinazosafirisha vifurushi kwenda Kenya, Rwanda & Uganda.
Mimi nafanya biashara online, napata wateja wengi kutoka nchi tajwa hapo juu ila changamoto ni...
Hello marafiki,
Naelewa wanaJF ni wajuzi wa mambo. Na kupitia uzi huu wengi watafaidika.
Ningependa tufuhamu jinsi ya kupata Uwakala wa vinywaji vya Azam:
Vigezo unavyotakiwa kukidhi.
Mtaji...
Wakuu habari za jioni?
Natamani Sana kuanzisha biashara ya Grocery ambapo nitakuwa nauza vinywaji mbalimbali kama vile bia, soda, maji, wine, konyagi, K-vant, valeur, n.k. lakini pembeni niwe...
Hellow...
Kuna fursa katika biashara ya kukopesha watu. Kama una mtaji wa milioni 20 na upo interested na hii biashara njo inbox tuyajenge zaidi. Wateja wapo wa uhakika waliochunjwa kabisa hawana...
Wadau katika mizumguko yangu nimeenda mkoa fulan nimekuta bei ya mkaa ni elfu 5000, gunia. Naomba kwa anayejua utaratibu wa kusafirisha mkaa kwenda dar, nitapataje kibari chake. Ili nisipate tabu...
Wasalaam
Watu wengi sasa wameanza kuamini biashara kwa njia ya mtandao. Leo jioni nimekuwa kwenye ofisi moja idadi ya wateja na Mahala ilipo hakuna uhusiano. Baadae nikagundua wote wanawatolea...
Hello wana Jamii,
Wenye ujuzi juu ya mtaji unaohitajika kuwa wakala wa vinywaji wa azam na vile vya coca cola mfumo wa take away.
Yani namaanisha kuchukua mzigo direct kutoka kiwandani...
Wadau naomba kujua ni fursa gani zipo za kibiashara kwa nyanja zote katika Mkoa wa Kigoma. Mimi natokea Dar na kwenda Kigoma kwa shughuri za kikazi tu wadau naomba kujua.
Katika hali isiyo ya kawaida na ukimya wa hali ya juu, ndege zetu za kifahari kuwahi kutengenezwa kwa matumizi ya kubeba abiria, zimebadilishwa Matumizi na sasa zimeanza safari za kupakia mizigo...
Kuna jamaangu mmoja yupo Dar juzikati akaniuliza kuhusu bei ya kuku Dodoma.nikamwambia sijui mana mm nipo mjini ngoja niulizie watu wa vijijini.
Nilivyouliza watu wa vijijini wakaniambia kuku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.