Habari za muda huu.
Nakuja moja kwa moja kwenye mada wazee, nina gari aina ya Noah sasa sijui niifanyie nini. Kwa mwenye mchongo naomba unipe hata route za kupiga hela au hata ishu za private...
We recently got our hands on some photos about latest CAMON model from TECNO, rumored to be coming out in early October. Not many details were available about the new phone just yet, but the...
Leo nimepanda bolt bodaboda dah.. yule dereva kanifurahisha sanaa uwezi amini kaajiliwa kwenye compuni ya ulinzi akajichanga kanunua pikipiki sasa akiwa off anapiga mzigo mchana kutwa akiingia...
Nahitaji kufanya manunuzi Amazon, lakini nashindwa kufanya malipo kwasababu system inanijibu kwamba muuzaji hawezi kutuma mzigo kuja Tanzania.
Wazoefu na hili huwa mnafanyaje?
Sellers Amazon au...
Je una uwezo wa kupata tairi mbovu? Chakavu? Kubwa kwa ndogo?
Je unaweza kupata mipira ya matairi ama kamba zake?
Je unaweza kupata masalia yoyote ya tairi au hata chenga zitokanazo na kuchenjua...
WanajamiiForums Habari za saa hizi,
Nipo hapa naomba ushauri wa location ya kufungua Biashara ya Ufundi simu. Mimi nikija niliemaliza chuo mwaka huu 2021, ukiachana na tahaluma niliyosomea chuo...
Mbuzi ni mnyama anae lika sana Tanzania, kwa sherehe za kifamilia au hata social gatherings mfano birthdays, kutoa mahari, ubatizo nk. Pamoja na hayo mbuzi choma ni kitafunwa pendwa kwa...
Mimi ni wakala ila sina uzoefu nimeanza hizi mishe nina kama mwezi hivi. Naomba kuelekezwa kuna wateja wa Voda na wa Airtel huwa wana kuja na msg wakiwa wametumiwa pesa kutoka mitandao tofauti...
Nataka kuwa wakala wa nywele bandia za makampuni ya hapa Tanzania mfano daring hair, prima hair n.k.
Mwenye uzoefu wa biashara hii na pia utalatibu wa mchakato mzima pamoja na kianzio cha mtaji...
Ndugu wana JamiiForums nimekuja kwa mara nyingine kuomba ushauri kuhusiana na biashara ya bucha. Huu mwaka ni mpango wangu wa kuongeza biashara nyingine ili kukabiliana na ukali wa maisha...
Emerald is the most precious of the beryl group (aquamarine is also beryl).
The name "emerald" seems to have come from the Persian word for "green stone". Emeralds are usually considered to be...
Habari za kazi.
Kuna tafsri nyingi juu ya motivation speakers duniani juu ya yale wasemayo na namna ya kuyatekeleza katika maisha halisi. lakini katika club house hii hakika kwa wiki mbili sasa...
Biashara ni mabadilishano ya huduma na bidhaa kwa malipo. Biashara itabaki kuwa biashara bila kujali ni legal au illegal. Hii ni list ya biashara haramu ambazo unaweza ukafanya Tz na ukatusua...
Napendekeza na kushauri machinga wa maeneo yote hayo wahamie Soko la Kivule Mashariki Kitunda. Kuna frame zaidi ya 100 nafasi ya kutosha wateja, miundombinu maji, vyoo, soko zuri sana na...
Nakumbuka Mwaka 2015 Ndio Ilikua Mwisho Wangu Wa Kununua Bidhaa Kutoka Ebay. Kipindi Hicho Nilikua Interested Na Electronics Hivyo Nilinunua Vifaa Hivyo.
Lakini Siku Vinafika Posta Naenda...
1. Genge la mboga mboga na matunda. Hii ni biashara ambayo mtu ataweza kuanzisha kwa mtaji mdogo kabisa na ikampatia kipato cha kujiendesha kimaisha ama kutunza familia, kulipa kodi ya pango n.k...
Habari zenu wana JF NAOMBENI mnishauri mm Ni kijana wa miaka 23 napenda sna kujiajiri japokuwa nasoma chuo arusha nahitaji kufanya biashara ya spices "VIUNGO MBALIMBALI VYA KUPIKIA" sasa sjui...
Habari,naitwa Titus Devis.. karibu sana tuongee kuhusu viwango vya riba au interest rate kwa lugha ya kigeni
Kwanza kabisa tuanze na viwango vya riba ni nini (what is interest rate)
-Viwango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.