Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,289
- 5,229
Hello wana Jamii,
Wenye ujuzi juu ya mtaji unaohitajika kuwa wakala wa vinywaji wa azam na vile vya coca cola mfumo wa take away.
Yani namaanisha kuchukua mzigo direct kutoka kiwandani.
Natumaini nitapata maelekezo.