Wachambuzi wa masoko ya hisa za fedha duniani karibu hapa

scalper

New Member
Oct 3, 2020
1
122
Waja JF wasalaam

Natambua changamoto za biashara, hiz sio kwamba nilizipitia bado naendelea kuzipitia

Hivyo nilikuwa naomba kwa yeyote ambaye angalau anauwezo ktk hii biashara tushirikiane kuchambua soko kila siku. Najua tunatumia strategies tofaut, lakin kwa kiasi fulan zinaendana.

tutajikita ktk kupredict uelekeo wa soko with sold reasons. Yaani ukisema soko litashuka, toa sababu zisizopungua 3 na kuendelea..na hivyo hivyo ukisema soko Lita panda juu, au kama halina huelekeo pia toa sababu. Hii itasaidia kuanticipate soko with more confidence than alone analysis. Wapendwa wanaoamin katika biashara ni vema tukashare idea

Mfano Mimi ntaanza na NZD/USD
Hivyo attachment hapo chini inaonyesha time frame ya 1 day kwa analysis yangu hilo soko litashuka chini kwa sababu zifuatazo
1. Soko limepanda juu sana, lakini at the top kuna bearish engalfing bar, ambayo ni strong signal ya market reversal, hii bar inapotokea at top or bottom of the trend means market reversal

2. level( supply and demand zones or support and resistance). Hapo ndo biashara huwa inafanyika, hii engulfing bar imetokea kabsa karibu na key level means pressure ya wauzaji ni kubwa na wanataka kushusha soko chini

3 signal, hapo signal ni engalf bar, yaan buyers wamekuwa engalfed by sellers which is the signal of sellers control. Kutokana na hiyo analysis nashauri kwenye time frame ndogondogo kama masaa 4, SAA 1 dk30, dk 15, na dk 5 tutafute opportunity za kushuka chini, puuza kabsa signal ya kupanda juu maana itakuwa ni mtego, lkn ukipata signal ya kushuka chini kwenye s/r level ingia kwa confidence,( hii inaitwa top down analysis)

Angalizo, kuw makin na time frame yaan dk 5-30 zina tabia ya kutoa wrong signal due to hard battle between sellers and buyers bora ukaanzia sa1 na kuendelea.

Natambua kila mtu ana signal zake, mi zangu ni
1. Engulfing. Reversal at the bottom or top of trend, and continuation in trending market
2. Pin bar
3. Morning Star
4. Inside bar
5. Doji
6. Dragnofly doji.


Please please, kama huzi huu haukuhusu usicomment chochote, hii inaitwa self respect acha wahusika watoe mawazo yao..
View attachment 1987824
 
Jitahidi kuzitumia hizi signals with the trend as continuation signal and not as the reversal signals ....utaona mataokeo yake.
 
Back
Top Bottom