Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Naomba kufahamu bei za kreti za bia tofauti tofauti kutoka kwa wauzaji wa jumla. Nitashukuru.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu habari. Nimehangaika sana kupata platform ninunue hisa za Lucid Motors,kila App nayopata hawasapoti Tanzania.Sasa nitumie njia gani?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wandugu, Kama unakijua Kinyarwanda au unamjua mtu anayekijua Kinyarwanda kuna kazi ya transcription (kuandika kile unachokisikia). Ni kazi ambayo itadumu kwa muda wa miezi 3. Malipo ni...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Mu-hali gani wakuu??? Maisha magumu sana, kila kukicha mambo yanazidi kuwa magumu, nilifanikiwa kuanzisha ki'biashara flani (maji na juice kwa jumla) hapo Dar ila mimi nilikua mkoani naongeza...
1 Reactions
15 Replies
19K Views
Mazao jamii ya maharage ni maharage, kunde, choroko, mbaazi, njugumawe nk. Kutokana na idadi ya wasio kula nyama duniani kuongezeka soko la mazao haya limeongezeka sana. Mazao haya hutumiwa na...
12 Reactions
60 Replies
15K Views
We are looking for an investor who is willing to invest $50,000 and above. We are currently expanding our Company ( Shamwaa Africa) And we would like you to join this low risky Air Cargo business...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Bila shaka mu wazima na shughuli za maendeleo wana jamvi. Ni takribani miaka mitatu sasa tangu nimekabidhiwa nyumba ya urithi, nyumba iliyokuwa chini ya uangalizi wa walezi wangu kwa muda mrefu...
0 Reactions
4 Replies
719 Views
Hii nchi inafursa gani ambazo mtanzania anaweza kuchangamkia?
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Salamu wana jf. Kwanza kabisa nipende tu kuanza Uzi wangu kwa kumshukuru mungu na wema na fadhiri zake. Anazotupa pumzi na uhai wake. Pili niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi nipo mkoa wa...
2 Reactions
15 Replies
6K Views
Habari za Asubuhi; Wote tumezoea kusikia habari matajiri wa dunia na kiwango chao cha utajiri.Kuna ambao huwa tunafikiri hawa matajiri wana vyumba vimejaa minoti,wanamiliki hekari na hekari za...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwakuwa serikali haiwezi kuwa na maeneo kwa machinga woote nchini hivyo Maeneo wanayopewa wamachinga ni kwaajili ya wafanyabiashara wadogo wasiokuwa na mitaji mikubwa ya kufanya biashara kubwa...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanajamii poleni na majukumu, nipo hapa Dar es Salaam hila natokea Mkoani Kagera ambako kuna wakulima wa Vanilla wengi mno na zao hilo limekosa soko. Wanakijiji wenzangu wamenituma niwatafutie...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Habari waungwana ningependa kujua ni wapi chimbo la vyombo vya mtumba vya majumbani kama sahani,vikombe ,jars za kuwekea maua,flampen na vyombo vingine kwa dar es salaam
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana JF? Nina mtaji wa Tsh Million 7 naweza kupata msaada wa kitaalamu wa biashara? Nimeona niulize pia kwa ushauri wenu kwa ambao mpo humu, naweza kuanzisha biashara gani pale Katoro...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
(shillings) [emoji910] NMB 8.18 trillion [emoji910] CRDB 8.13 trillion [emoji910] Stanchart 2.4 trillion [emoji910] NBC 2.1 trillion [emoji910] Stanbic 1.9 trillion [emoji910] DTB 1.3...
2 Reactions
24 Replies
6K Views
Baada ya uteuzi wa Waziri mpya, Wizara ya Viwanda na Biashara imeanzisha utaratibu wa kuanzishwa kwa Wakala wa Shopping Malls Tanzania na kwa kuwa nchi iliyopata maendeleo fedha haina thamani haya...
4 Reactions
59 Replies
10K Views
Naona ndugu zetu wanahangaika sana kutumia kuni, Je tutumie mbinu gani kupika Gongo tupunguze matumizi ya kuni?
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Waheshimiwa, Nauliza kama kuna laptop ambayo ni mpya kabisa kutoka dukani (sio used; yaani mimi niwe mtumiaji wa kwanza) kwa bei ya 400,000/- kwa Dar. Kama ipo, specifications zake zipoje?
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Mimi ni mwanafunzi wa chuo, na ninahitaji kuanza biashara itakayokuwa inaniingizia kipato kipindi hiki nikiwa chuo, Nahitaji ushauri wenu wakubwa ni biashara gani itakayoweza kuniingizia kipato...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wanajamii na wapambanaji wenzangu, Nimebahatika kupata banda la chuma kubwa (7x7) muundo wake ni ule wa kuwa na dirisha kubwa kwa mbele ambalo linafungukia juu hivyo nafasi ya kivuli ipo...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Back
Top Bottom