Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,371
- 14,495
Wakuu habari za jioni?
Natamani Sana kuanzisha biashara ya Grocery ambapo nitakuwa nauza vinywaji mbalimbali kama vile bia, soda, maji, wine, konyagi, K-vant, valeur, n.k. lakini pembeni niwe nachoma mishikaki na chipsi pia.
Sasa nataka mtu mwenye uzoefu na biashara hii anipe ABC hususani faida, na changamoto zake. Pia, kuhusu mtaji nianze na kiasi gani cha pesa?
Nitashukuru sana kwa maoni, ushauri, n.k.