Online Travel Agency (OTA)

Online Travel Agency (OTA)

Mo graphics 2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2019
Posts
1,002
Reaction score
1,496
Hello! Heshima kwenu.

Kwa wajuvi katika sector ya usafilishaji wa anga(airline). Naomba muongozo wa taratibu za kuwa travel agency wa kampuni za ndege.

Kama uko na A.B.C juuu ya hiri swala naomba utoe mchango wako hapa kwa faida ya watu wote.

Karibu.



1336903326.jpg
496502331.jpg
 
Back
Top Bottom