Za masiku, Umepotea sana.kama unajua tuwasiliane mkuu.
Vibari viwili ? AiseeNenda kwa mkuu wa mkoa Ofisi inayohusika na maliasili na misitu utalipa pesa nadhani mara ya mwisho ilikuwa ni 256000 sijui kama wamepandisha utapewa kibali alafu nenda pia katika mkoa unaoenda kuchukua mzigo kata kibali ambacho utalipa kuendana na kiwango cha mzigo wako, baada ya hapo nadhani process utakua umemaliza
Kimoja hicho cha 256000 ukilipa kinakaa mwaka mzima Yan inakua km leseni,lkn hicho cha pili ndo unalipa kila ukisafiriVibari viwili ? Aisee
Ni wapi mkuu niambukize na mimi iyo biasharaWadau katika mizumguko yangu nimeenda mkoa fulan nimekuta bei ya mkaa ni elfu 5000, gunia. Naomba kwa anayejua utaratibu wa kusafirisha mkaa kwenda dar, nitapataje kibari chake. Ili nisipate tabu njiani.
asante mkuuNenda kwa mkuu wa mkoa Ofisi inayohusika na maliasili na misitu utalipa pesa nadhani mara ya mwisho ilikuwa ni 256000 sijui kama wamepandisha utapewa kibali alafu nenda pia katika mkoa unaoenda kuchukua mzigo kata kibali ambacho utalipa kuendana na kiwango cha mzigo wako, baada ya hapo nadhani process utakua umemaliza
Haaaaa Haaaaa 😂, una kumbukumbu sana, ni Mimi nimechange I'd boss wangu
Tena hivyo ni vichache, ungeza na lesseni ya biashara, pamoja na tax Clearance bila kusahau TIN ukishamaliza kumbuka kilagunia utakuwa kulipia 13500 hiyo ni maliasili na 5% ya Halmashauri.Vibari viwili ? Aisee