Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Binafsi naamini TECNO itakuja kuwa Kampuni kubwa Ya Smartphone, Kwamba watakuja kukaa meza moja na awa REDMI, REALMI, OPPO, NOKIA, SONY, SAMSUNG ila kwa Sasa sioni kama wana simu yenye quality ya...
19 Reactions
210 Replies
25K Views
habali ndugu naitaji kazi nipo dar kama usafi kutoka na magali konda wa magali ya shule bandalini usafi kusimamia nyumba bustani duka nk zakwenda na kulud
1 Reactions
8 Replies
939 Views
Hebu nisaidieni nina shamba langu la maua Arusha au Nairobi natakiwa nisafirishe hayo maua kwenda ulaya (cargo) Sasa swali linakuja Yani pipa lichome wese toka Arusha au Nairobi mpaka Heathrow...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Nina wazo ambalo nadhani nahitaji msaada zaidi wa kuongeza ufahamu nina kibanda tayari na kuna biashara kadhaa naendelea nazo kama mpesa ila kibanda kiko wazi nimepata wazo niweke shelf kisha...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Habarini za asubuhi wadau, Leo nikiwa njiani kuelekea kibaruani nikasikia kwenye radio kwamba sasa Serikali imeamua kuagiza mafuta yenyewe moja kwa moja kutoka kwa wazalishaji. Nikajiuliza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
TECNO today announced that its latest smartphone to release in November TECNO CANOM 18 Premier has received two new internationally recognized TÜV Rheinland certifications respectively for Low...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Thread hii imeanzishwa mahususi kwa ajili ya traders ambao wana trade katika masoko ya kifedha duniani(Forex, Stocks, Commodities, crypto currencies etc) waonyeshe analyzed trade Setups ambazo wao...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba kujua ni vitu gani vya kufungasha from Dar to kusini na inaitaji mtaji wa kuanzia kiasi gani?
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau wasalaam Nimepata tenda ya kupleka Ngombe na Mbuzi Zanzibar kutokea Dar es alaam. Naomba ushauri njia ipi nayoweza tumia kusafirisha mifugo(ikiwa hai) na pia kusafirisha kama nyama ikiwa...
4 Reactions
10 Replies
5K Views
Salaam wadau, Naulizia machimbo ya vifaa vya keki kwa Bei ya jumla, Dar es Salaam.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu mimi sio mwandishi mzuri sana ila nitajitaidi kidogo kuandika kwa ufupi ili niweze ku share nanyi jambo lililonikumba mwaka jana 2020. Katika haya maisha kuna mambo tunapitia...
30 Reactions
61 Replies
8K Views
Watu wengi wamekuwa wakitamani kuanza biashara lakini wanafikiri namna ya kuanza kwani mtaji wao ni mdogo sana. Usiogope; kuwa na mtaji mdogo au kutokuwa nao kabisa sio mwisho wako wa kutimiza...
5 Reactions
12 Replies
9K Views
Mm in mfanya biashara wa kuchanganya rangi za magari na furniture..Nipi keko chang'ombe..Naomba kujua machimbo ya maagent wa goldstar na Plascon..Pia wale wenye ujuzi zaid yng ya utaalam wa rangi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari, madini tajwa hapo juu yanahitajika Sokoni Dar es salaam... kwa wingi... tuma picha ya mzigo ulonao, sema na offer yako... tuma picha kwa Whatsapp 0714417641... Asante.
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Huyu JATU anajiita JATU PLC, Public Limited Company maana yake yuko kajiorodhesha kwenye soko la hisa la Dar es salaam. Sina hakika kama yuko kwenye soko la hisa ila ninacho jua ni aina ya upigaji...
0 Reactions
24 Replies
8K Views
Habari za jioni Wana JF ,Mimi ni kijana mjasiriamali ,nina jishughulisha na biashara ya kutengeneza na kuuza Milk products kama Yogurt na Cultured milk(mtindi) ila changamoto ninayopata ni baadhi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Tuanze na mtaji mdogo tu, labda una shilingi laki 5 na hujui ufanyie shughuli gani; fanya yafuatayo:- Nenda sokoni, na utafute wamama watu wazima watano wenye vibanda; ambao ni wapambanaji...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari na karibu katika fikra za kujilisha ufahamu na kuelimika... Nakuletea andiko story for change Ndimi mwandishi wako Jeef George andaa mawazo ,uelewa na maswali yenye kufumbua mboni za watu...
0 Reactions
1 Replies
892 Views
Habari wana chamvi, nimesoma uzi kuhusu mada tajwa hapo juu nami nataka kushirikishana uzoefu wangu kuhusu huyo 'mwekezaji". Huyo bwana anaitwa Tariq, mwaka juzi 2018 nilisoma bandiko lake fb...
65 Reactions
366 Replies
65K Views
Leo nime ona niwape mchongo Vijana wengi wa kitanzania ambao Mnataka kufanya biashara ambavyo Vitawapa mafanikio Nendeni nyarugusu kwenye kambi ya Wakimbizi Kuna pesa nyingi saana kule...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom