Tetesi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tetesi

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Njaa, Dec 17, 2010.

 1. Njaa

  Njaa JF-Expert Member

  #1
  Dec 17, 2010
  Joined: Dec 6, 2009
  Messages: 970
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 60
  Nasikia BoT wanataka kuanzisha noti nyingine, tena ni noti ya shilingi elfu hamsini? Kama ni kweli hii ni dalili ya nini kwenye uchumi na dhamani ya sarafu yetu?? Msaada wajameni
   
 2. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Nilipo bold sidhani kama ni kweli kwani mpaka sasa vielelezo kadhaa vya uchumi bado havionyeshi hitaji la noti ya sh. 50,000/=

  Nawashauri BoT waendelee na mpango wao wa kuhakikisha Tanzania inaondokana na cash economy !! Mpaka leo Tanzania mtu anaweza kwenda showroom na kununua gari na cash taslimu Tsh. 150 million bila kuulizwa chochote.
   
 3. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #3
  Dec 17, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  RED: Elimu kidooogo plz!!
   
 4. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #4
  Dec 18, 2010
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 718
  Trophy Points: 280
  Tutakuwa Zimbabwe soon!!ni mtazamo wangu tu
   
 5. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #5
  Dec 18, 2010
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 718
  Trophy Points: 280
  Soon tutakuwa kama Zimbabwe!!mm ni mtazamo tu
   
Loading...