wachumi,sasa tumefika pazuri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wachumi,sasa tumefika pazuri

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by The Biggest IQ, Dec 16, 2010.

 1. T

  The Biggest IQ Member

  #1
  Dec 16, 2010
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nianze kwa kuwapongeza wachumi wenzangu kwa kuelimika sana maana siku hizi unapoingia kwenye forum hii ya wachumi kweli unakuta thread za kichumi na hata mawazo watu wanayochangia ni kichumi zaidi tofauti na zamani ambapo watu walitoa michango pumba tupu na kuweka thread zisizoendana na uchumi.

  hongereni sana.
   
 2. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #2
  Dec 16, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Hongera na kwako pia kwa kutambua michango ya wachumi wenzio!
   
 3. Erick_Otieno

  Erick_Otieno JF-Expert Member

  #3
  Dec 16, 2010
  Joined: Mar 28, 2010
  Messages: 630
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 180
  Hizo pumba ndizo zilizozaa unachokiona sasa!
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Dec 16, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hii thread yako ungeipeleka kwenye forum ya pongezi. maana unaweza kukuta unarudisha hayo mambo ya pumba ya zamani.

  Ebu nilimishe

  • mfumuko wa bei nini ( mm sio mchumi nieeezee kwa lugha nyepesi ?
  • Tanzania umefikia % ngapi?
   
 5. T

  The Biggest IQ Member

  #5
  Dec 16, 2010
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mtazamaji kwa lugha rahisi kabisa mfumuko wa bei ni ile hali ya bei za bidhaa kupanda bila kupungua kwa muda mrefu(the ersistance increase of the price of diferent comodities)
  hapa bongo mfumuko wa bei umefikia asilimia 12 kama sijakosea.
  kuna namna ya kupata asilimia hizo kwa njia ya kimahesabu labda kama utakuwa interested useme wadau washuke mambo.lakini njia mojawappo kubwa ni kwa kutumia price index
   
 6. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #6
  Dec 16, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  wewe umejiunga novemba sasa hiyo zamani unayosema ilikuwa ni lini
   
 7. Obhusegwe

  Obhusegwe JF-Expert Member

  #7
  Dec 16, 2010
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 232
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Huyo msanii tu. Achana naye
   
Loading...