Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Inawezekana ikawa ni ukweli ya kuwa kuna wakati kuna matatizo ya kimtandao na hivyo kufanya mabenki yetu kutotoa huduma kwa wateja. Hata hivyo kwa utafiti wangu mdogo kwa baadhi ya mabenki kuna...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana JF kuna hizi tetesi mwenye data kamili atuthibitishie
0 Reactions
78 Replies
11K Views
Maneno haya si mageni wengi wetu kwa hasa kuyasikia katikalugha ya kigereza ya kitamkwa na viongoziwetu wa siasa, makaazini na hata sisi wenyewe kuyasistiza manyumbani na sehemu nyingine. Kwa...
0 Reactions
2 Replies
9K Views
Dar’s tax holidays costing economy hundreds of millions of dollars By JOSEPH MWAMUNYANGE THE EAST AFRICAN Posted Monday, February 21 2011 at 00:00 The government’s generous tax exemption...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wafanyabiashara ndogondogo ‘wamachinga' wa kigeni wametakiwa kuondoka ndani ya siku 30 ili kuacha watanganyika kufanya biashara hizo. Naibu Waziri wa Biashara an Viwanda, Lazaro Nyalandu...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
kufuatana na matukio ya leo na dharula,nimetumia simu yangu ya Air tel usiku after 11pm,wamekata pesa kubwa kama kawaida nikaamua kwenda ktk website ya airtel.com nikakuta offer ya robo shilingi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu, Jamaa yangu anatafuta usafiri kwa matumiza ya kawaida na ameniomba nimsaidie kutafuta dealer wa magari aliyeko Zanzibar ili aweze kuwasialiana naye moja kwa moja na kununua magari...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
The Airline Business Magazine celebrated its 25th Anniversary in December 2010. The leading business and corporate strategy publication for the air transport industry was founded in 1985. Over the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Workflow Robot ERP ni mfumo wa komputa unaotumika kusimamia na kuratibu mauzo, mapato, matumizi na stoku. Hutumika kwa mpangilio uliowazi na kudhibiti kila sehemu ya biashara hasa pale...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
SERIKALI imesema hivi sasa haina fedha za kukidhi mahitaji ya idara na taasisi zake na kuwataka wananchi kuwa makini katika matumizi ili kukabiliana hali ngumu iliyopo. Akizungumza katika...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Jambo moja ambalo ni la kujiuliza kwa nini matajiri wetu wa Ki-Tanzania kama Bakhresa, Diallo, Reginald Mengi n.k hawajiingizi na kuwekeza ktk sekta zenye utajiri mkubwa kama viwanda vikubwa...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
MIMI NI MDAU WA UTALII ILA KWA NINI TUNAFANYA VIBAYA KENYA WANAFANYA VIZURI HIYO SEKTA IMEAJIARI WATU WENGI NA KWETU PIA INGEPUNGUZA TATIZO LA AJIRA.:msela:
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Hi I write articles about availability of different agricultural and mineral resources for the world's population, production and distribution rates, etc. I am interested to find a person who is...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salamu wanaJF Mpaka sasa najiuliza kama tuna serikali mpaka sasa maana serikali hii haijali wananchi wake. Tulianza na MV BUKOBA wakati wa mkapa Ikaja Mbagala sasa hivi gongo la mboto, hawa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kuna hili suala la uanzishwaji wa banks,what is the implication of this tanzania kuna mashirika ya bank mengi to mention afew crdb,nmb cba,boa,dtb,ecobank,benki ya posta,efatha,na mengine mengi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tafadhali tafadhali kama nilivyowaandikia barua naommba muwache kututumia msg za kipuuzi usiku wamanane na kuamsha hisia za wapenzi wetu..si wote tunaozima simu lakn ikilazimika tunaweza ...sion...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Za masiku wapendwa wenzangu, Jamani leo nimekuja kuomba na mimi msaada ni jinsi gani nitakavyoweza kuanzisha biashara na mtaji wa kama millioni 5. Natamani sana kufanya biashara ila sijui pa...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Ukisikiliza matangazo mengi ya Clouds fm wanashirikiana na VOdacom kutangaza mabomu ya gongo la mboto Naona makucha yaliyokuwa yamejificha ndo yanatoka sasa mchawi wenu mfaziri wa hawa wahuni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hii kitu road toll naikia siku nyingi kwamba tunakatwa katika kila lita ya ya petrol na diesel ili kuimarisha mfuko wa ujenzi na ukarabati wa barabara,japo kuna makato mengine mengi hapo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…