Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

VIONGOZI walioingiza serikali katika mikataba mikubwa mitatu ya utata, wameliandalia taifa mzigo mkubwa wa madeni yasiyolipika hata katika miaka 50 ijayo, MwanaHALISI limeelezwa. Wakati Dowans...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
s Titled OPEN THE DOOR FOR AFRICAN DIASPORA Topics What can AU...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Reli hii hakika itakuwa mkombozi wetu kiuchumi Thursday, 17 March 2011 20:18 Jakaya Kikwete RAIS Jakaya Kikwete jana...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
pata ulinzi imara katika Komputa yako. Lightway or info@lightwaysolution.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
asilimia 45 ya wanawake na wasichana wafanyakazi nchini kwenye ofisi mbalimbali zikiwemo za serikali wamepata kazi hizo kwa kutoa rushwa ya ngono imeelezwa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Watanzania wengi hupendelea kuagiza magari yao Japan aidha moja kwa moja au kwa kutumia maajenti. Hivi karibuni Japan imekubwa na maafa ya matetemeko ya ardhi ambayo madhara yake yameifanya dunia...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Nasikitishwa sana na wafanyakazi wa NSSF Arusha kwani mteja akiingia wanakuona kama msumbufu na wao wamebaki wanatafuna maandazi na kuzungumza kwenye simu zao. Hivi kweli ndiyo Ofisi ya...
1 Reactions
7 Replies
6K Views
The truth about mobile banking in Africa M-Pesa advert There has a lot written about mobile payments in Africa, particularly since the success of M-Pesa in Kenya Mobile banking is certainly a...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
SAKIMA ni mjasiriamali anaesambaza tofali na material ya ujenzi. Tofali ni imara wilayani ROMBO, tofali ni imara na zinafikishwa pahala husika kwa wakati bei zetu ni nzuri popote pale ukiona gari...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
President Jakaya Kikwete has said more effort is needed to fully tap the country's geographical advantage including Dar es Salaam port services to enhance economic growth. The president said this...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
I want you to pay VERY CLOSE attention to what I’m about to say… There isn’t much time to act on it, and A LOT of people are about to hear about it I can’t guarantee you’ll be able to take...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumanne, Machi 15, 2011, ametembelea Wizara ya Fedha (Hazina), ikiwa ni mwanzo wa ziara za kutembelea Wizara...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Ndugu wana jamvi, Kwa mujibu wa tangazo la Precisionair walilotoa katika gazeti la Nipashe la tarehe 10/03/2011, ukurasa wa kwanza, nauli za Dar Mwanza ni shilingi 100,000 (laki moja) kwa ndege...
0 Reactions
32 Replies
9K Views
Juzi nimetembelea kwa mtu,nimekula unga wa dona,ulikuwa mtamu sana,ugali ni ulichanganywa na unga wa muhogo. nilipo dadisi nikaambiwa kuwa huwa anasaga mahindi mwenyewe (in Dar),nimeongea na...
1 Reactions
4 Replies
7K Views
nataka kuagiza gari japan, ni toyota super custom van 8 seaters ya mwaka 1994. mwenye ufahamu na mambo ya kodi pale bandarini dar tafadhali aning'ate sikio namna itakavyokuwa taxed niangalie mfuko...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
I have been working on a number of literal projects in the past few years and I think its about time to get published (fiction works and non fiction). Mojawapo ya mapendekezo ambayo nimepatiwa ni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani fundi mzuri wa milango ya nyumba anatafutwa kwa kazi ya haraka hapa DSM. Naomba ushauri wenu, anaweza kupatikana wapi? Pia kuna mtu mwenye picha za kazi zake na kama zipo tunaziomba.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Jamani kwa jinsi sukari ilivyokuwa juu hivi juzi juzi limeniijia wazo la ulimaji wa miwa kwa ajili ya sukari je nani anaweza kuniambia gharama za ulimaji wa Hekari moja maeneo ya Coastal au maeneo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wana Jamii, Mchana huu Mh. Raisi J.K ameingia bandarini kukagua shughuli zina vyoendeshwa. Wadau tunao shughulika humu ndani tumezuiwa kuingia, mageti yamefungwa kupisha ugeni huo. Hivi storage...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau mliobobea kwenye sheria za kimataifa na mambo ya bima naombeni msaada. Mimi ni mfanyabiashara wa magari, kwa bahati mbaya siku ya 11/3/11 ambapo tsunami iliyosababishwa na tetemeko la ardhi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom