Kwanini sio SERIKALI HII HAIJALI WANANCHI????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini sio SERIKALI HII HAIJALI WANANCHI?????

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kachanchabuseta, Feb 18, 2011.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Salamu wanaJF

  Mpaka sasa najiuliza kama tuna serikali mpaka sasa maana serikali hii haijali wananchi wake.

  Tulianza na MV BUKOBA wakati wa mkapa

  Ikaja Mbagala sasa hivi gongo la mboto, hawa watu wapo wamekaa madarakani wanakula kodi zetu. Mpaka sasa waathirika wa mbagala wengine hajaripwa hela zao.

  TUKIO la HAITI, nchi hiyo ilianzisha HAITI foundation ambayo ni endelewa inawasadia waathirika kwa maisha yao mpka elimu yao ya chuo kikuu


  Watu wa mbagala wameishia hewani na wamesaurika

  kwanini serikali hii inakuwa ya KINYAMA KINYAMA
   
 2. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  na bado mtamkumkuka sana Dr.SLAA
  ALISEMA KUWA kumchagua JK ni kukaribisha janga
  haya si mmeona sasa?
  kila kitu ni shida na watu wanatamani 2015 ifike mapema
  wale hawako pale kwa ajiri ya wananchi bali wako kwa maslahi yao binafsi(rejea maneno ya wziri Mwinyi akisema hawezi kujihuzuru)
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hapa kweli Dr Slaa atakumbukwa

  Hii serikali naona hawezi kujali wananchi wake utendaji wake umejaa kisiasa:wink2::wink2:
   
Loading...