wajuzi naomba majibu yenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wajuzi naomba majibu yenu

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Hardman, Feb 19, 2011.

 1. H

  Hardman JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 60
  kuna hili suala la uanzishwaji wa banks,what is the implication of this tanzania kuna mashirika ya bank mengi to mention afew crdb,nmb cba,boa,dtb,ecobank,benki ya posta,efatha,na mengine mengi ambayo sijayataja,sasa naomba ufafanuzi hii ina maana gani uchumi unapanda au kuna michezo michafu hizo banks zinatuchezea
   
Loading...